Certified Hater
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 1,760
- 3,733
Hivi mtu keshanyimwa balansi unataka aseme amemla hadiHapo bado hajaanza kutaka tope...na ukiwa umefungwa sijui utajinasua vipi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ebu endelea kuchanganyikiwa tu mkuu, hata hivyo namimi ni black american[\b]....[emoji39] [emoji39] [emoji39]Mmmh bt kumpenda nampendaa yaan yupo vizuri bt hayo mambo yake ndo yananichanganyaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana mkuu, hilo wazo nilitokanalo huku Ushirombo maana hizo mambo tulikua tunazifanya miemgeni enzi za kombolela..tehteehh๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ nahisi bidada wa ughaibuni kwake ilikuwa fureshi tu maana alishapitia sana hizo,au yeye ndo alitoa wazo..
Hahhahah shoga angu nisamehe tu ujue vinachekesha sana navuta picha tu ukiwa umetundikwa hayo ni mapenzi au adhabuShogaa kuchekana ni dhambi mambo ya kutundikwa juu kama nyama naanza kuogpaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
๐ ๐ ๐ ๐ฎ๐ฎmtanganyika tena jamani mwacheni dada mambembe na m'black America wake,amewapa lifti mnataka kupiga na honiKuna mwenzako humu kipindi mapenzi yanaanza, alinyolewaga mavuz* na dem wake kabla hawajakatana. Walipomaliza dem akaondoka nayo akasema anaenda kuyatupa nje.
Baada ya wiki mbili jamaa anataka kumbwaga yule demu ili aende kwingine. Yule dem akamuuliza "Hivi unajua zile nywele za cku ile zako wapi?" Jamaa anajibu hajui. Dem akamwambia sasa ww niache ndio utajua zilipo.
Sasa ww endelea na huyo mtanganyika unayemuita black america
Sent using Jamii Forums mobile app
๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎEbu endelea kuchanganyikiwa tu mkuu, hata hivyo namimi ni black american[\b]....[emoji39] [emoji39] [emoji39]
๐ ๐ ๐ ๐ ๐Hapana mkuu, hilo wazo nilitokanalo huku Ushirombo maana hizo mambo tulikua tunazifanya miemgeni enzi za kombolela..tehteehh
Hapati kizungu zunguuNikweli mkuu, hata mimi niliwahi kumpata bidada wa huko ughaibuni......
Basi nilimpa style ile kumfunga mikono na miguu kwenye fan/panga boy..... kisha nikaishusha kamba hadi chini na bidada akawa kama anakaribia kugusa kwa kitanda......
Basi mwanaume nialala kwa bed huku mnara ukisoma juu ya alama, the nikawasha feni na mtoto akaanza kuuzunguka.....tehteehh [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hapana mkuu, ila alikua anaguna kiamerika..... ingawa na mimi mtwangio ulichemkaaaa...tehteehh [emoji12] [emoji12]
Hivi kumbe kufungwa inanoga eehhhhh??? Ngoja nami nijaribu kwanza
Cc Smart911
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahhahah shoga angu nisamehe tu ujue vinachekesha sana navuta picha tu ukiwa umetundikwa hayo ni mapenzi au adhabu
Umempa ukweli mpyaPsychologically bwana ako ana fantasy anazotaka kuzitimiza.
Hakupendi.
Kwake yeye wewe ni kifaa cha kutimiza fantasy zake.
Bwana ako ni hanithi.
Anahitaji baadhi ya vitu ili awe stimulated.
Akivikosa (ukimkatalia) atakua violent, possibility ya kukudhuru ni asilimia 67, kukudhuru hadi kukuua ni 35%.
Hayo ni maneno yangu kama mtu niliewahi kukaa darasani.
Maneno yangu kama kijana wa kijiweni ni kwamba, jiandae hiyo siku usile wali maharage, empty your bowel kwakua unabikiriwa upya.