Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 135,167
- 160,806
Hivi kumbe kufungwa inanoga eehhhhh??? Ngoja nami nijaribu kwanza
Cc Smart911
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha... hakunogi mahondaw Wangu...
Nikufunge kwani nakamua mbuzi au...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kumbe kufungwa inanoga eehhhhh??? Ngoja nami nijaribu kwanza
Cc Smart911
Sent using Jamii Forums mobile app
Babu weeee ananipeleka higher......ilaa sasa nshaonaaa ntapelekwa mpkaa dariniHahaha... hakunogi mahondaw Wangu...
Nikufunge kwani nakamua mbuzi au...
Subiri akuombe jicho maana ndo anakoelekeaHey fam hope mpo pouwaaaaa........
Heri ya mwaka mpyaaa kwenu nyoteee[emoji1488]
Jaman kwa wale ambao mshawahi date ma black american hivi haya mambo ya shawatokeaa??
Manake mambembe naanza kujioneaa mambo mapya kilaa siku zinavyoenda,
Jaman katika mizunguko yangu last year nilikutana na muzungu black american ambaye ndo baby wangu kwa sasa ila jaman jamaa ana vimbwanga huyu sijapata kuonaa mpaka nshaanza kumchoka
Manake tukianza mambo yetu ya sita kwa sita baby lazimaa anifunge mikono na miguu ndo aanze shughuli[emoji2950]
na kwa mwanzo nilionaa ni jambo jipya acha nijaribu kwakweli it was good na nilienjoy though unakosa balance bt was nice,
Sasa jaman jana mwenzenu simuelewi jana kanifata ofisini kunipitiaa akaniambiaa nimvulue pichu[emoji2811]nikamwambiaa why nikuvulie nikataka kwenda kumpa amabayo sijaivaa akagoma anataka hiyo hiyo niliyovaaa nikavuaa nikampa bila kujuaa anaipeleka wap sijui kunusaa au kufanya nn??wataalamu labda mniambiee wakina #nyani ngabu
Sasa kilichotokea leo kanitumia text kasema this weeknd anataka tukifanya anifunge miguu na mikono plus kuniziba mdomo na kanitumiaa video za 50shades ndo anataka tufanye hivyo nahisi mshaiona hiyo movie hapa ndipo ninapochoka mwenzenu
Huu uzungu naupenda na kumpenda nampenda bt naona its to much huku kufungwa fungwa sijazoeaa mwenzenu wale wenzangu na mie naombeni ushauri nimuachee au nifanyeje au ambao mshakuwa na wapenzi wa ainaa hii mna lipi la kuniambiaa[emoji849][emoji849][emoji849]
The queen of king bed
Queen of all weather
The calm and collected mambembe
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilijua kakunyonga mamii Kama mzma tunashukuru...Nipo jaman yule nshamalizana naye yule
Hivi bado jamaa hajakuua tu na mambo yakeHey fam hope mpo pouwaaaaa........