YAMENIKUTA MAMBEMBE

YAMENIKUTA MAMBEMBE

We chekelea kufungwa hivyohivyo
Chupi hiyo atakuwa kampelekea mbwa wake anuse azoee harufu ya papuchi yako ili siku akimleta akinusa tu anaparamia mzigo huku akiwa ashakufunga miguu tayari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo ndiyo mshahara wa kutukataa sisi wabongo na kuona kuwa umeruka mkojo kumbe umeenda kuangukia kwenye mavi!
 
😅😅😅😅😅😅😅😅😅nahisi bidada wa ughaibuni kwake ilikuwa fureshi tu maana alishapitia sana hizo,au yeye ndo alitoa wazo..
Hapana mkuu, hilo wazo nilitokanalo huku Ushirombo maana hizo mambo tulikua tunazifanya miemgeni enzi za kombolela..tehteehh
 
Kuna mwenzako humu kipindi mapenzi yanaanza, alinyolewaga mavuz* na dem wake kabla hawajakatana. Walipomaliza dem akaondoka nayo akasema anaenda kuyatupa nje.

Baada ya wiki mbili jamaa anataka kumbwaga yule demu ili aende kwingine. Yule dem akamuuliza "Hivi unajua zile nywele za cku ile zako wapi?" Jamaa anajibu hajui. Dem akamwambia sasa ww niache ndio utajua zilipo.

Sasa ww endelea na huyo mtanganyika unayemuita black america

😅😅😅😮😮mtanganyika tena jamani mwacheni dada mambembe na m'black America wake,amewapa lifti mnataka kupiga na honi
 
Kusema ukweli nakuhurumia sana na nikutangulizie pole kama ya majanga yanayokunyemelea hayajakufika
 
Nikweli mkuu, hata mimi niliwahi kumpata bidada wa huko ughaibuni......
Basi nilimpa style ile kumfunga mikono na miguu kwenye fan/panga boy..... kisha nikaishusha kamba hadi chini na bidada akawa kama anakaribia kugusa kwa kitanda......
Basi mwanaume nialala kwa bed huku mnara ukisoma juu ya alama, the nikawasha feni na mtoto akaanza kuuzunguka.....tehteehh [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hapati kizungu zunguu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Psychologically bwana ako ana fantasy anazotaka kuzitimiza.

Hakupendi.

Kwake yeye wewe ni kifaa cha kutimiza fantasy zake.

Bwana ako ni hanithi.

Anahitaji baadhi ya vitu ili awe stimulated.

Akivikosa (ukimkatalia) atakua violent, possibility ya kukudhuru ni asilimia 67, kukudhuru hadi kukuua ni 35%.

Hayo ni maneno yangu kama mtu niliewahi kukaa darasani.

Maneno yangu kama kijana wa kijiweni ni kwamba, jiandae hiyo siku usile wali maharage, empty your bowel kwakua unabikiriwa upya.
Umempa ukweli mpya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom