dochivele
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 537
- 349
Polee mwaya ila sahiv upo ok au sio?Poleee ila mimi yalio nikuta sioni umuhimu wa haya mambo na kamwe sitowahi?? Nilivuliwa nguo na kutiwa aibu mbele za watu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Polee mwaya ila sahiv upo ok au sio?Poleee ila mimi yalio nikuta sioni umuhimu wa haya mambo na kamwe sitowahi?? Nilivuliwa nguo na kutiwa aibu mbele za watu
Namshukuru Mungu kwakweli kwani nautofauti mkubwa tangu nilipokutana na hayo mambo adi sasa, maisha yangu yanebadili kwa kiasi fulaniPolee mwaya ila sahiv upo ok au sio?
HahahahaBasi usituambie manake tutajikuta tunabubujika michozi usku mzima
Nnaomba msamahaa wng ctarudia tena[emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17]leo nmelia sana mpaka sasa sina usingizi siku yangu naiona ndefu ni kama miaka mpaka siku hii kuisha[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] binadamu jamani
[emoji4][emoji4][emoji4]This time ni zamu yangu wacha nilie
HahahhBasi usituambie manake tutajikuta tunabubujika michozi usku mzima
Nmeweka kisa kwa ufupiKuna haja gani ya kulileta hapa harafu huelezi kilichokusibu?
Hebu funguka kwa ufupi tujue tatizo nini, maana hatuwezi kuchangia kabla wewe hujatueleza tatizo nini.
Halafu mie sipendagi vitendawili
Hebu funguka japo tukupe msaada wa mawazo
[emoji4][emoji4][emoji4]
Nimekoma hata wewe utakomeshwa siku yako ipoMMMM JANGA LA KIDUNIA YAANI WATU WANABADILI GEAR ANGANI KAMA VILE ZIMEJITEMA KOMAA
Hongera ngoja nijifunze sasaMie nshakuwa sugu, huwa mapenzi ni kitu cha ziada
Asante wacha nijipe muda .....kuhusu kulipiza siwezi na sijawaza maana upendo haulazimishwi .....na mimi siwezi lazimishaKama vile upo kwenye shughuli wa mwisho kunawa afu unaambiwa msosi umeisha.
Ila pole.Usifanye malipizi wakati ukifika utampata wako.Usikimbilie kuzaa pia.Time heals everyone