Yamenikuta mwenzenu

Yamenikuta mwenzenu

[emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17]leo nmelia sana mpaka sasa sina usingizi siku yangu naiona ndefu ni kama miaka mpaka siku hii kuisha[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] binadamu jamani
Nnaomba msamahaa wng ctarudia tena
 
Hebu funguka kwa ufupi tujue tatizo nini, maana hatuwezi kuchangia kabla wewe hujatueleza tatizo nini.
 
njooni wote wenye kusumbuliwa na mapenzi kwa maana tulizo la mioyo yenu liko kwangu
 
MMMM JANGA LA KIDUNIA YAANI WATU WANABADILI GEAR ANGANI KAMA VILE ZIMEJITEMA KOMAA
 
Acha utoto kwani umezaliwa nae,au yeye ndiye mfungua hazina kwa mara ya kwanza?..
 
Kama vile upo kwenye shughuli wa mwisho kunawa afu unaambiwa msosi umeisha.

Ila pole.Usifanye malipizi wakati ukifika utampata wako.Usikimbilie kuzaa pia.Time heals everyone
 
Kama vile upo kwenye shughuli wa mwisho kunawa afu unaambiwa msosi umeisha.

Ila pole.Usifanye malipizi wakati ukifika utampata wako.Usikimbilie kuzaa pia.Time heals everyone
Asante wacha nijipe muda .....kuhusu kulipiza siwezi na sijawaza maana upendo haulazimishwi .....na mimi siwezi lazimisha
 
Back
Top Bottom