THE BEEKEEPER
JF-Expert Member
- Feb 23, 2024
- 1,462
- 7,157
Juzi kati hapo nimesaini boom, wakati narudi magetoni nikapishana na mama muuza mihogo akaniambia nikuwekee ya shingapi, Mimi nikamwambia Mimi sili mizizi Kwa Sasa. Leo mpunga umekata nimerudi Kwa mama muuza mihogo Ili anipe ya buku nipige countar attack mbaka night kasema wewe mtoto shika adabu Yako😓