THE BEEKEEPER
JF-Expert Member
- Feb 23, 2024
- 1,462
- 7,157
Na mimi nasema hiviii wewe mtoto shika adabu yako😆.Kwani ulishawahi kuambiwa kua uyaone mwanangu.Ama ulilelewa kama kunguru🤪Juzi kati hapo nimesaini boom, wakati narudi magetoni nikapishana na mama muuza mihogo akaniambia nikuwekee ya shingapi, Mimi nikamwambia Mimi sili mizizi Kwa Sasa. Leo mpunga umekata nimerudi Kwa mama muuza mihogo Ili anipe ya buku nipige countar attack mbaka night kasema wewe mtoto shika adabu Yako😓
Ndiyo hadithi tayari?Counter-attack mbaya sana.Juzi kati hapo nimesaini boom, wakati narudi magetoni nikapishana na mama muuza mihogo akaniambia nikuwekee ya shingapi, Mimi nikamwambia Mimi sili mizizi Kwa Sasa. Leo mpunga umekata nimerudi Kwa mama muuza mihogo Ili anipe ya buku nipige countar attack mbaka night kasema wewe mtoto shika adabu Yako😓
Kwa kweli!!! Sasa hivi JF imekuwa na nyuzi za kipuuzi kupita kiasi!!! Eti mtu anagombana na mpenzi wake anaweka uzi humu!!!! Utoto umekuwa mwingi mno!!!!Hii story ungepost kwenye group lenu la WhatsApp Tu.
Mods hebu mfanye kazi ya kudhibit huu utoto
Usisikitike.Yana mwisho.Inasikitisha sana
Kwa hiyo kizazi chote tumekuwa watoto?Ndiyo maana tunaitana wana.😂😂😂Kwa kweli!!! Sasa hivi JF imekuwa na nyuzi za kipuuzi kupita kiasi!!! Eti mtu anagombana na mpenzi wake anaweka uzi humu!!!! Utoto umekuwa mwingi mno!!!!
Hakika bro🙏Usisikitike.Yana mwisho.