Yamenikuta wakuu, nimetongozwa kwenye daladala

Na xpesa ama mloan??maana wana kitu kizitoo
 
NAfikiri. Na kwa udevu huu yiel ustadhati aliniuliza jina ikabid nijifanye muslim, nikamwambia naitwa Hemed😂
Mkuu hili ni jina langu la Kiislamu

Nilikuwa najiita Mohammed ila wana sifa mbaya sana za onja onja na talaka. Pisi za kiustadhi zikawa zinanikwepa.

Nikaamua kubadili na kujiita Hemed. Walau naziotea. Kinachonisaliti ni rozari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…