YAMETIMIA, BWAWA LA MWALIMU NYERERE LAKAMILIKA, SASA KUANZA KUZALISHA MEGAWATT 2,115
Mradi wa Bwawa la Julius Nyerere (JHPP), ambao umegharimu Shilingi Trilioni 6.5, leo umefikia hatua muhimu baada ya mitambo yote tisa kuanza kuzalisha umeme wenye uwezo wa megawati 2,115.
Mradi huu utaleta matumaini makubwa ya maendeleo ya uchumi na viwanda kwa taifa letu. Huu ni ushahidi wa dhamira ya kweli Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan na Serikali yake katika kuhakikisha Tanzania inajitegemea kwa nishati ya umeme, hivyo kutoa fursa ya ukuaji wa uchumi na ustawi wa wananchi kwa maendeleo endelevu.
Kwa sasa, Taifa letu lina uwezo wa kuuza umeme nje ya nchi. Mradi huu, unahakikisha upatikanaji wa umeme wa kutosha na wa uhakika kwa jamii na uchumi wa nchi. Huu ni mfano wa uongozi wa Rais Dkt. Samia, ambaye ameonyesha maono ya kipekee katika kuhakikisha kuwa nishati ya umeme inakuwa chanzo muhimu cha maendeleo ya taifa letu.
kazi na Utu,Tunasonga Mbele
#kijanaNaKijani
#TunazimaZoteTunawashaKijani