Yametimia: Hatimae Kibu Denis azungumzia sakata lake na Klabu ya Simba

political monger senior

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2020
Posts
1,827
Reaction score
5,994
Kwenye mkataba wa Kibu Denis na SimbaSC kuna kipengele walichokubaliana kuwa, akipata timu Ulaya aruhusiwe kuondoka.

Kipengele hicho ndicho kinampa uhakika na jeuri ya kuondoka katika klabu ya Simba.

ℹ️ Klabu ya Kristiansund BK imeandika barua rasmi kwenda Simba SC ili kumnunua mchezaji huyo kwa kuzingatia kipengele hicho kilichopo kwenye mkataba.

Kibu akizungumza na kituo cha Crown fm amemkataa Rashid Yazidi aliyekuwa akifanya interview na media mbalimbali akisema kuwa yeye ni msimamizi wake.

"Rashid sio meneja wangu wala sio chochote, nilimkaribisha nikampa kazi kama mwanasheria ila hakuwa mwanasheria wangu nilimwita ili afanye kazi ila tulimalizana, simdai wala hanidai, simjui"

"Wakala wangu ni Carlos Mastermind"

©️ Kibu Denis Prosper

1722018824057.jpg
 
Kuna kipengrle kinamruhu kutoroka, maana ya kipengele kilichowekwa ni kwamba akipata timu ulaya asikataliwe kuuza na sio uhuni unaofanywa.
Kutoroka ni kosa linalo angukia katika ukosefu wa nidhamu kwaiyo timu inaweza kumpa adhabu ila si kuzuia yeye kuuzwa nje kwakua ni makubaliano ya ki mkataba.

Hata Simba wakigoma kumruhusu, Tff wata mruhusu kwakua nakala za mikataba wanazo na icho kipengele kita mbeba Kibu.

Ubaya Ubwela.
 
Kwenye mkataba wa Kibu Denis na SimbaSC kuna kipengele walichokubaliana kuwa, akipata timu Ulaya aruhusiwe kuondoka.

Kipengele hicho ndicho kinampa uhakika na jeuri ya kuondoka katika klabu ya Simba...
Tatizo kubwa la kibu ni kwamba, anaamini yeye ni mchezaji mzuri na mkubwa sana. kama kuna mtu karibu yake amwambie ukweli.
 
Kibu haendi kokote atarejea tu hapa. Na akirudi atajuta maana Simba watamnyoosha vilivyo kama wanavyomnyoosha Manula. Hakuna kitu kizuri kama kumalizana na watu ulioishi nao kwa usalama. Kwani angeaga kuwa anaenda kwenye trials kungekuwa na shida? Hiyo timu ya Norway watamkataa maana kuna buyout clause ya Dola milioni moja kuvunja mkataba wa Kibu sioni wakitoa hiyo hela. Anarudi tu huyo.
 
So ndio b.2 za ki bongo
 
Ni moja ya sajili zilizopigiwa kalele kwa hiyo ye ateme mpunnga wa mo cola maana kajipa thank u masantula
 
Kwenye mkataba wa Kibu Denis na SimbaSC kuna kipengele walichokubaliana kuwa, akipata timu Ulaya aruhusiwe kuondoka.

Kipengele hicho ndicho kinampa uhakika na jeuri ya kuondoka katika klabu ya Simba.

ℹ️ Klabu ya Kristiansund BK imeandika barua rasmi kwenda Simba SC ili kumnunua mchezaji huyo kwa kuzingatia kipengele hicho kilichopo kwenye mkataba.

Kibu akizungumza na kituo cha Crown fm amemkataa Rashid Yazidi aliyekuwa akifanya interview na media mbalimbali akisema kuwa yeye ni msimamizi wake.

"Rashid sio meneja wangu wala sio chochote, nilimkaribisha nikampa kazi kama mwanasheria ila hakuwa mwanasheria wangu nilimwita ili afanye kazi ila tulimalizana, simdai wala hanidai, simjui"

"Wakala wangu ni Carlos Mastermind"

©️ Kibu Denis Prosper

View attachment 3053076
Kwa kiwango chake aende tu hakuna kitu hapo..
 
Back
Top Bottom