Yametimia: Hatimae Kibu Denis azungumzia sakata lake na Klabu ya Simba

Yametimia: Hatimae Kibu Denis azungumzia sakata lake na Klabu ya Simba

Kama haijafika? Maana kama ni conditional sentence, lazima uzungumzie pande zote
Kama haijafika na tuna mkataba nae na hajauvunja wala tusiwe na papara. Ana option 2 tu kuvunja mkataba wake au kuleta maombi ya kununuliwa.
 
Kibu haendi kokote atarejea tu hapa. Na akirudi atajuta maana Simba watamnyoosha vilivyo kama wanavyomnyoosha Manula. Hakuna kitu kizuri kama kumalizana na watu ulioishi nao kwa usalama. Kwani angeaga kuwa anaenda kwenye trials kungekuwa na shida? Hiyo timu ya Norway watamkataa maana kuna buyout clause ya Dola milioni moja kuvunja mkataba wa Kibu sioni wakitoa hiyo hela. Anarudi tu huyo.
I said this
 
Kuna kipengrle kinamruhu kutoroka, maana ya kipengele kilichowekwa ni kwamba akipata timu Ulaya asikataliwe kuuza na sio uhuni unaofanywa.
Kama umemsikiliza inaonekana huyu kibu alipata timu akawapa ushirkkiano shida club ikamkomalia akaamua kuanza akiamini kilekipengele ambacho simba waliulizwa wakakataa kipo wakaishia kumsambaza huyomhuni kwa media amchafue kd
Ubaya ubweka
 
Kibu haendi kokote atarejea tu hapa. Na akirudi atajuta maana Simba watamnyoosha vilivyo kama wanavyomnyoosha Manula. Hakuna kitu kizuri kama kumalizana na watu ulioishi nao kwa usalama. Kwani angeaga kuwa anaenda kwenye trials kungekuwa na shida? Hiyo timu ya Norway watamkataa maana kuna buyout clause ya Dola milioni moja kuvunja mkataba wa Kibu sioni wakitoa hiyo hela. Anarudi tu huyo.
Kama yanga na feitoto hahahaaaaa udugu umalaaaaa amjasemaaaa
 
Back
Top Bottom