Yametimia: Hatimae Kibu Denis azungumzia sakata lake na Klabu ya Simba

Yametimia: Hatimae Kibu Denis azungumzia sakata lake na Klabu ya Simba

Pamoja na hicho kipengele kwenye mkataba, alipaswa aishirikishe klabu kwanza ndio apewe go ahead... Huu aliofanya ni uhuni na haukubaliki. Wakati mwingine kipaji bila elimu ni mzigo tu.
 
Walete pesa hizo,Club chukueni pesa msije kuanza drama za sijui aripoti kambini. Kama barua imefika wapeni dau biashara ifanyike chap chap. Unless washindwe wao.
2.7 B wameshindwa.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Tatizo kubwa la kibu ni kwamba, anaamini yeye ni mchezaji mzuri na mkubwa sana. kama kuna mtu karibu yake amwambie ukweli.
Ukweli upi huo zaidi ya huo kuwa ye ni mchezaji mzuri? Unadhani hiyo team ya Norway ni wakurupukaji kama wewe mpaka wamtumie barua ya mwaliko!? Wenzetu wanafatilia nyendo za mchezaji hata miaka mitatu kabla ya kufanya maamuzi, huo mwaliko wa kutrain na kikosi cha kwanza inakuwa ni hatua ya mwisho kabisa katika kujiridhisha. Anyway, tufanye Kibu siyo mchezaji mzur, tutajie wachezaji wako wazuri then utuambie wanahitajika wapi.
 
Sasa kumbe, mkataba unamruhusu, kwanini asiombe ruhusa, kuliko uhuni aliofanya.. Ni vema kuachana kwa wema.
 
Kutoroka ni kosa linalo angukia katika ukosefu wa nidhamu kwaiyo timu inaweza kumpa adhabu ila si kuzuia yeye kuuzwa nje kwakua ni makubaliano ya ki mkataba.

Hata Simba wakigoma kumruhusu, Tff wata mruhusu kwakua nakala za mikataba wanazo na icho kipengele kita mbeba Kibu.

Ubaya Ubwela.
Kwani Kibu aliongea na Simba wakagoma kumruhusu?

Tff ndio wanaomlipa mshahara Kibu? Mbona maajabu haya.

We Tangu uzaliwe uliwahi kuona wapi mchezaji kauzwa na shirikisho?😀
 
Ukweli upi huo zaidi ya huo kuwa ye ni mchezaji mzuri? Unadhani hiyo team ya Norway ni wakurupukaji kama wewe mpaka wamtumie barua ya mwaliko!? Wenzetu wanafatilia nyendo za mchezaji hata miaka mitatu kabla ya kufanya maamuzi, huo mwaliko wa kutrain na kikosi cha kwanza inakuwa ni hatua ya mwisho kabisa katika kujiridhisha. Anyway, tufanye Kibu siyo mchezaji mzur, tutajie wachezaji wako wazuri then utuambie wanahitajika wapi.
Kufatilia nyendo Hakumaanishi kutokukosea mzee.

Wote walioenda ulaya walikua wachezaji wazuri?

Kuna zali na Zingine ni deals ukiwa na wakala mjanja kama mwinyi zahera mbona ulaya kugusa tu.
 
Pamoja na hicho kipengele kwenye mkataba, alipaswa aishirikishe klabu kwanza ndio apewe go ahead... Huu aliofanya ni uhuni na haukubaliki. Wakati mwingine kipaji bila elimu ni mzigo tu.
Hicho KIPAJI, anachoooo!!?
Kuna sehemu nimesoma……eti Simba wameijibu hiyo timu, ilete "Mahali" tu, wamchukue jumla! Sijui, afanyiwe majaribio kwanza, hataaaa!
 
Huyu mkimbizi Makolo wangeachana nae,hana kiwango halafu anawasumbua
 
Kibu ni kijana wa Kigoma hakuna mjinga kule, Kibu anajitambua, ameona fursa kaifuata , mbumbumbu wana nongwa sana ndo maana tunawapiga khamsa, aruhusiwe aende, mpira ni carrier ya muda mfupi sana ila safari ya maisha ni ndefu.
 
Sasa kumbe, mkataba unamruhusu, kwanini asiombe ruhusa, kuliko uhuni aliofanya.. Ni vema kuachana kwa wema.
Madai ya kibu ni kwamba,hapo awali Kuna ofa kadhaa zilitoka Ulaya na zilipofika Kwa Simba ikawa Uongozi unambania kuondoka,na ndipo baada ya kufahamu ukweli huo kama unakumbuka ndipo drama zikaanza Kwa jamaa ya kwamba Kama wanataka abaki inabidi wamuongezee pesa!

Wakiwa wamemuongeza pesa alizohitaji,ndipo ofa nyingine kutoka Norway ya Kristiansund ikatua Kwa wakala wake,Kwasababu kabla ya Timu husika kufanya mazungumzo na Simba ilifanya mazungumzo na Kibu,ndipo jamaa baada ya kuona hiyo ofa akawazuia Kristiansund kufanya mazungumzo na Simba kwasababu alijua viongozi watamtilia ngumu kwasababu hapo awali zilishakuja ofa kadhaa wakamtilia ngumu

Jamaa baada ya kuona hivyo,akaamua kutoushirikisha Uongozi wa Simba hadi jambo lake litakapotimia,maana alijua akiwashirikisha Uongozi wa Simba,wangemwambia atumikie mkataba wake aliokwisha Saini wakati yeye ndoto zake ni Kucheza Ulaya,Hivyo baada ya kufika Ulaya ndipo Sasa wakakubaliana na Kristiansund wauandikie Uongozi wa Klabu yake ya Zamani (Simba) kuhusu ku-negotiate !

Kwa mantiki hiyo,Jamaa ameamua Kutoroka kwasababu hizo nilizotaja hapo juu!

Hii Taarifa nilisikiliza pale Wasafi wakati wakimuhoji huyo Meneja wake (Carlos Mastermind)

Simba waache ubwela, Kibu sio mchezaji mzuri...

Wamuuze, wapige mpunga, wanunue silaha nyingine za hatari...
 
Kwahiyo makubaliano ya yeye kuondoka yalifanyika?Au amesemaje hapo
 
Kutoroka ni kosa linalo angukia katika ukosefu wa nidhamu kwaiyo timu inaweza kumpa adhabu ila si kuzuia yeye kuuzwa nje kwakua ni makubaliano ya ki mkataba.

Hata Simba wakigoma kumruhusu, Tff wata mruhusu kwakua nakala za mikataba wanazo na icho kipengele kita mbeba Kibu.

Ubaya Ubwela.
Hizo Sheria za kijiweni, Dube alishindwa Nini kuuzwa na tff, kuuzwa kunategemea mkataba wake unasemaje na sio TFF kuuza wachezaji.
 
Back
Top Bottom