Kibu haendi kokote atarejea tu hapa. Na akirudi atajuta maana Simba watamnyoosha vilivyo kama wanavyomnyoosha Manula. Hakuna kitu kizuri kama kumalizana na watu ulioishi nao kwa usalama. Kwani angeaga kuwa anaenda kwenye trials kungekuwa na shida? Hiyo timu ya Norway watamkataa maana kuna buyout clause ya Dola milioni moja kuvunja mkataba wa Kibu sioni wakitoa hiyo hela. Anarudi tu huyo.