Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 16,583
- 42,992
Iliwahikutabiriwa hii hali ya ccm kuwatesa wapinzani kwa kuwauwa kuwateka na kuwafungulia kesi za uongo. Godbless Lema akiwa mbunge kabla magufuli hajawafanyia uovu aliwahi kusema bungeni haya mnayotufanyia sisi chadema mnadhani yataishia kwetu tu lakini siku mkitumaliza sisi mtauwana na kufitiniana kutekana wenyewe kwa wenyewe. Sasa tunayaona kwa utamu wake. HUMPHREY POLEPOLE WAMEMTEKA NA PENGINE KUMUUA LEO HII NCHIMBI ANAITWA YUDA MTU ALIYEWAHI KUWA KATIBU MKUU KAFUKUZWA KAMA MBWA. UTABIRI UMETIMIAAAAAAAAAAAAAAAAAA NABII GODBLESS LEMA OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE.