Iliwahikutabiriwa hii hali ya ccm kuwatesa wapinzani kwa kuwauwa kuwateka na kuwafungulia kesi za uongo. Godbless Lema akiwa mbunge kabla magufuli hajawafanyia uovu aliwahi kusema bungeni haya mnayotufanyia sisi chadema mnadhani yataishia kwetu tu lakini siku mkitumaliza sisi mtauwana na kufitiniana kutekana wenyewe kwa wenyewe. Sasa tunayaona kwa utamu wake. HUMPHREY POLEPOLE WAMEMTEKA NA PENGINE KUMUUA LEO HII NCHIMBI ANAITWA YUDA MTU ALIYEWAHI KUWA KATIBU MKUU KAFUKUZWA KAMA MBWA. UTABIRI UMETIMIAAAAAAAAAAAAAAAAAA NABII GODBLESS LEMA OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE.
hiyo kitu ya the so called maombi has nothing to do on this issue, nafikiri tutafute namna nyingine mkuu ikiwezekana kuweka juhudi zetu binafsi na sio kusubiri miujiza
Okay asante kwa ushaurihiyo kitu ya the so called maombi has nothing to do on this issue, nafikiri tutafute namna nyingine mkuu ikiwezekana kuweka juhudi zetu binafsi na sio kusubiri miujiza
Hahahaaa!Ngoma bado mbichi sana. Hadi ifikie 2030 tutashuhudia mengi.
Jihogo langu la jang'ombe halipitii manyumbu, hivyo kivumbike tu kibumbu/papuchi Yako. Kwani si una mumeo au? Sasa nitakutunuki vipi hili jihogo?!!NILETEE KAMA UNATAKA KUNITUNUKU.
Nipo hapa nampatia mama yako hapa kwa upande wako vipi mumeo ameshakupatia?Wait a minute, Cha Asubuhi umepatiwa kwanza?!!
Dogo CCM haijaanza leo kuwashughulikia wahuni ndani ya chama! Aliwahi kuondolewa Mzee Aboud Jumbe akiwa Makamu wa Kwanza wa Rais, Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar. Pia aliwahi kuondolewa Mzee Samwel Cigwiyemisi Malecela akiwa Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Edward Ngoyai Lowassa akiwa Waziri Mkuu, Horace Kolimba akiwa Katibu Mkuu wa CCM Taifa na Maalim Seif Sharrif Hamad akiwa Waziri Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.Iliwahikutabiriwa hii hali ya ccm kuwatesa wapinzani kwa kuwauwa kuwateka na kuwafungulia kesi za uongo. Godbless Lema akiwa mbunge kabla magufuli hajawafanyia uovu aliwahi kusema bungeni haya mnayotufanyia sisi chadema mnadhani yataishia kwetu tu lakini siku mkitumaliza sisi mtauwana na kufitiniana kutekana wenyewe kwa wenyewe. Sasa tunayaona kwa utamu wake. HUMPHREY POLEPOLE WAMEMTEKA NA PENGINE KUMUUA LEO HII NCHIMBI ANAITWA YUDA MTU ALIYEWAHI KUWA KATIBU MKUU KAFUKUZWA KAMA MBWA. UTABIRI UMETIMIAAAAAAAAAAAAAAAAAA NABII GODBLESS LEMA OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE.
Rejea post #11Nipo hapa nampatia mama yako hapa kwa upande wako vipi mumeo ameshakupatia?
Manyumbu hayana issue, yamepoteana. Yenyewe yalifikiri chama kitakuwa legelege sababu ya Samia kumbe walichokutana nacho hawaamini.Dogo CCM haijaanza leo kuwashughulikia wahuni ndani ya chama! Aliwahi kuondolewa Mzee Aboud Jumbe akiwa Makamu wa Kwanza wa Rais, Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar. Pia aliwahi kuondolewa Mzee Samwel Cigwiyemisi Malecela akiwa Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Edward Ngoyai Lowassa akiwa Waziri Mkuu, Horace Kolimba akiwa Katibu Mkuu wa CCM Taifa na Maalim Seif Sharrif Hamad akiwa Waziri Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
Hakuna maajabu kwa Dk. Nchimbi kuondolewa wala HAKUNA cha utabiri!
Manyumbu wao wanaamini Lissu ndio Chadema. Hivyo wanafikiri kuwa hata CCM inaamini katika mtu, kumbe sivyo!Manyumbu hayana issue, yamepoteana. Yenyewe yalifikiri chama kitakuwa legelege sababu ya Samia kumbe walichokutana nacho hawaamini.
Sina muda huoRejea post #11
Basi nenda jikoni kachochee maharage uliyoyainjika kwa ajili ya mumeoSina muda huo