Yametimia mkitumaliza sisi mtageukiana wenyewe kwa wenyewe

Huwezi kuandika reply ndefu hivi Bure, hongera broo kwa kua na mrija wa kunyonya fedha za chama.
 
Ahsante sana, karibu. Wewe pia usiwe mchoyo, tukaribishane huko kwenye tOne tOne ambako mnazipiga vizuri tu na hivyo kukuwezesheni kushinda jf 24/7 mkifanya kazi rahisi tu; kumtukana na kumzushia Samia, kikwete na familia zao.
 
Tone tone ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…