Juzi tu nimeona picha zao za uchi mtandaon kumbe ndo walikuwa wana post uchi wao kwa mara ya mwisho? Nyie hawa kwel sio wazima methadone inawahusu wot wawil
hahaaaa!!
methodone tenaa!!
hivi kisa nini had wameachana?
yaani mi nimetumiwa pm ni bonge la ubuyuuu!!
ufanyie manuva basss!!
aisee hadi nimeteemeka thnx to@ladykims
We kumbe umepata? Mmh huyo aliyeudaka ni nomaa
Eeh kumbe nili post? Mwenzio nahangaika apa kuandika tena nkajua sijapost, khaa mdomo na wenyew huu bado tu sikomi na ban mbil zote zile, ila si ulipata kidog ubuyu ndo vile
Wengine wanasema wivu wa mapenzi, wengine wanasema shilole kachoka kulea bas tafran ila ngoja tutajua tu c unajua warumi tena, apa nimeweka masikio juu tayar kwa kudaka mchele
Nimepata binamu na kucopy nimecopy
Duh umetisha mbaya binamuu
Sasa hawa ma mods maana ya we dare to talk openly wameweka ya nini? Si bora sasa nirud fb maana nina ma ubuyu ya haja ila ukiweka tu wanatoa bila sababu
yaani mi nimetumiwa pm ni bonge la ubuyuuu!!
ufanyie manuva basss!!
aisee hadi nimeteemeka thnx to@ladykims
EEeh si tuliambiwa ma hater tutajiju tusubir ndoa imekuaje tena? Si wameshatambulishana hawa jaman
Eeh kumbe nili post? Mwenzio nahangaika apa kuandika tena nkajua sijapost, khaa mdomo na wenyew huu bado tu sikomi na ban mbil zote zile, ila si ulipata kidog ubuyu ndo vile
yaani mi nimetumiwa pm ni bonge la ubuyuuu!!
ufanyie manuva basss!!
aisee hadi nimeteemeka thnx to@ladykims
Shost hebu nirushie plz siku hizi napitwa mnooo
poa ngoja nkupep
Kwa hiyo yule dogo alipiga mambo pale?
By...Free ideas..
Ndo mie binamu, nimerud, nitakaa humu had wiki ijayo ndo gossipcopwarumi atakuwa huru maana warumi yupo hoi sijui mwaka gan atakuwa huru ila nipo kwa niaba apa