Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaaha Cc warumi njoo umuone ndugu yako huku kashaharibu kabaki na tatoo tu.
yaani mi nimetumiwa pm ni bonge la ubuyuuu!!
ufanyie manuva basss!!
aisee hadi nimeteemeka thnx to@ladykims
Ndo mie binamu, nimerud, nitakaa humu had wiki ijayo ndo gossipcopwarumi atakuwa huru maana warumi yupo hoi sijui mwaka gan atakuwa huru ila nipo kwa niaba apa
hivi ndoa watu wanajua mavuzi hata chizi anayooo!!!
I miss you my dia binamu.Yani jukwaa lilopooza na nadhani upo full.Sasa hivi usideal na sijui watu gani wewe angalia tunaokutegemea hapa jukwaani.
Poa binamu, nilikumisije yaan
Juzi tu nimeona picha zao za uchi mtandaon kumbe ndo walikuwa wana post uchi wao kwa mara ya mwisho ? Nyie hawa kwel sio wazima methadone inawahusu wot wawil
Wengine wanasema wivu wa mapenzi, wengine wanasema shilole kachoka kulea bas tafran ila ngoja tutajua tu c unajua warumi tena, apa nimeweka masikio juu tayar kwa kudaka mchele
nimepata wote bila chengachenga
Daaa namuonea huruma huyu kijana Nuhu maana bila shaka anajuta! Tusubiri na yeye atafunguka kama Ezidel!Alichosema Shilole 'shishi baby' kwenye Instagram
Yani huo ubuyu hadi natetemeka nilivoukosa,tutumieni basi wenzenu jamani.....
Dah shilole ana mambo kweli ila na huyo mziwanda naye anapenda umarioo