Yametimia: Shilole kiuno ''Shishi Baby'' ampa kibuti Nuhu Mziwanda

Ushauri wa bure kwa kina marioo wote:

"Anza kutafuta bwana,ili upate haki ya kutunzwa"
 
Ni matokeo ya malezi ya singo maza,akili inakuwa kike kike zaidi.hata girlfriend unaona ana haki ya kukulea

acha kutukana single mothers - kama huna mchango basi nyamaza tu
 
Yeye mwenyewe kasema kumpenda mwanaume asiye na hela ni kipaji,mnategemea nini hapo!
 
Attachments

  • 1407652314239.jpg
    37.3 KB · Views: 465
Aende mwenge kuna Salon wanadawa ya kufuta tatoo ila sio zile zilizochorwa kwa korosho.

sijawahi kufikiria kabisa kuchora tattoo ktk mwili wng ila siku nikiamua kujichora tattoo basi nitajichora majina ya binti zng 2,glory na Vanessa kwasababu hao ndio hawawezi kunikana mpk mwisho wa dahari.
 
Sema dogo tunamsamehe bure uwelewa ulikuwa mdg kashajifunza ila its too late.
 
hiki ki-boy kilikuwa kinataka kick tu hapa town, sasa kimeangukia pua. mwangalieni anaweza asitoke nje siku nzima wa aibu
 
shilole kashindikana kicheche hatari
 
Sema dogo tunamsamehe bure uwelewa ulikuwa mdg kashajifunza ila its too late.

hawa watoto sijui ata wana matatizo gani?au kichwani mwao kuna nati fulani hivi zimelegea,yani mtu huna ata muda mrefu naye unakurupuka unajichora tatoo ili uonekana unapenda sana matokeo yake ndio hiyo aibu ya kwenda kufuta.
 
Mahaba nibabue...!!

Hahahahahahaha,jamani mbavu zangu mie! mkuu umenifanya nicheke sana,ila kweli bana,vijana wengi siku hizi ni wajinga sana,yaani kidume mzima unalishwa na demu,namjua vizuri shilole,amekulia igunga jirani na mama mmoja wa kiarabu,rafiki wa familia yetu,shilole amelimbukia dar,akiwa igunga alikuwa hajui hata kuoga,ana asili ya uarabu koko na mnyiramba wa shelui,kijana mjinga wewe acha kudandia wanawake hovyo,tafuta maisha kwa jasho lako nyambaf...
 
sijawahi kufikiria kabisa kuchora tattoo ktk mwili wng ila siku nikiamua kujichora tattoo basi nitajichora majina ya binti zng 2,glory na Vanessa kwasababu hao ndio hawawezi kunikana mpk mwisho wa dahari.

kama wewe ni SHE sawa ila kama wewe ni HE nakushauri kabla hujachora majina hayo ya mabinti zako DNA ihusike otherwise kama wewe ni muumini wa kitanda hakizai haramu
 
kama wewe ni SHE sawa ila kama wewe ni HE nakushauri kabla hujachora majina hayo ya mabinti zako DNA ihusike otherwise kama wewe ni muumini wa kitanda hakizai haramu

mkuu mimi ni he ila siunajua kuna watoto wengine hawahitaji DNA?ukimuangalia tu unajua huyu ni mwanangu cuz ni copy,hivyo ndivyo nilivyo mimi na binti zangu,kinachonipa moyo ni kuwa nimezaa na wanawake wawili tofauti lakini ukija nyumbani kwangu huwezi kujua wale ni watoto wa mama wawili tofauti walivyofanana.
 
100% wa kwako hao wanangu mimi ukiwaona km sijawazaa mie wanafanana na baba yao wakike ila km wakivaa kiume utasema wanaume
 
100% wa kwako hao wanangu mimi ukiwaona km sijawazaa mie wanafanana na baba yao wakike ila km wakivaa kiume utasema wanaume

kumbe wewe unazaa?labda sijui maana ya neno hilo manake wakati nakua niliambiwa mnyama km mbuzi,ng'ömbe nk ndio wanaozaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…