Yametimia: TANESCO yakiri uhaba wa umeme. Kutoa 'Taarifa' watu wapange kazi zao

Yaani mkuu taabu sana, huyu hana uchungu na taifa.
 
Umeme wa upepo? Hujui kilichotokea miaka kama Sita au saba nyuma juu ya project hiyo. Wachina walitoka Ethiopia hadi hapa katikati mabosi wakaanza paruana kila mmoja anapendekeza joint venture na Hao Wachina. Big man akaona isiwe taabu futilia kwa mbali mradi wenyewe
 
😂Mambo ya "Hydroelectric power".....sisimizi kameza msumari 📌🐜

💪[Geothermal,nuclear,natural gas,wind mill]👍
 

Watanzania wengi tunapenda kuambiwa hadithi. Ukweli ni kwamba JPM angeruhusu vyombo vya habari kuandika hali halisi......tungetafutana kwenye giza.

Ukiishi kwenye jamii yoyote inayopenda kufanya mambo kwenye giza, ndo matokeo yake. Hata sasa hivi mambo mengi yanafanyika gizani na sisi wananchi tunashangilia. siku yakianza kututafuna sijui tutamlaumu nani.

Nuru na giza havichangamani.
 
Nisubiri twende wote [emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23] habari Z kisiasa huwa zinachosha akili mno. Yanini kujipa stress maisha yenyewe mafupi
twende zetu wameshania boa wametuacha giza
 
Na serikali za CCM zina-take advantage ya taifa kuwa na wajinga wengi kuliko werevu...

Wajinga hawa wakawa wamekaa mkao wa kula kumeza kila wanachoambiwa...
 
Na serikali za CCM zina-take advantage ya taifa kuwa na wajinga wengi kuliko werevu...

Wajinga hawa wakawa wamekaa mkao wa kula kumeza kila wanachoambiwa...

Leo GoV ya Tz inatwambia tuna mgao wa umeme kwa sababu ya kupungua kwa vyanzo vya maji. Lakini hao hao wakubwa wanatwambia kwamba tunajenga Stigler's ya kutupa umeme wa MG 2000+, sasa unajiuliza hayo maji yatatoka mbinguni au wapi? au yenyewe hayataathirika na ukame?

Ni ngumu sana kuwaelewa wanasiasa!
 
Msije tu kutuletea vikampuni vyenu vya capacity charge.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…