Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Afrika kusini, Serikali ya Makabulu ilimkamata Mandela na kumfungulia Kesi ya Uhaini hapa Tanzania Serikali ya CCM imemkamata Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu na kumfungulia kesi ya Uhaini.
Afrika kusini, Serikali ya Makabulu kupitia njia za kisheria walikifungia kufanya siasa Chama cha ANC. Hapa Tanzania Serikali ya Chama cha Mapinduzi kupitia puppets zao Mahakama wamekifungia Chadema kufanya shughuli zake.
Afrika kusini Serikali ya Makabulu iliua, kuteka na kupoteza wanachama wa ANC waliyokuwa wakiipinga, Hapa Tanzania Serikali ya CCM insfanya vitendo vya kuuwa, kuteka, kupoteza , kubaka na kulawiti wanachama wa Chadema.