Yamoto band kwa speed hii hamkamatiki

Yamoto band kwa speed hii hamkamatiki

mfirigisi

Senior Member
Joined
Apr 17, 2012
Posts
115
Reaction score
50
Yamoto band ikiongozwa na Mkubwa fela wakijulikana kama mkubwa na wanae wakiwa na nyimbo kali zilizotamba na zinazoendelea kutesa kama Nitajuta
,mapenzi ya moto, niseme na INOOH.

Sasa wametoa bonge la nyimbo wakimshilikisha kijana mwenye sauti ya dhahabu aliyeimba wimbo wa mama Christian bella.

Wimbo huo mpya unaitwa WAMBEA
Kuupata kapakue kwa DJ MWANGA.
 
watachuja haraka coz wanatoa nyingi ndan ya mda mfupi, kwanini wanafanya hivi?
 
Hawa madogo na Christian Bella wamekwiva, nice song. 'semeni mulale tukutane 2moro'.
 
watachuja haraka coz wanatoa nyingi ndan ya mda mfupi, kwanini wanafanya hivi?

Kweli kabisa...wanatoa nyimbo nyingi hata sijui wanajiamini nini...muda utatuambia lakini
 
nawakubali sana madogo mafundi ila speed yao kali sana
 
watachuja haraka coz wanatoa nyingi ndan ya mda mfupi, kwanini wanafanya hivi?

Hili nimelifikiria sana nacdhani km wenyewe wanajua,,,,! wana nyimbo nzuri sana wangeacha hadi zilizopo zichuje bila hivyo,,,!
 
Hili nimelifikiria sana nacdhani km wenyewe wanajua,,,,! wana nyimbo nzuri sana wangeacha hadi zilizopo zichuje bila hivyo,,,!

Kweli kabisa...wanatoa nyimbo nyingi hata sijui wanajiamini nini...muda utatuambia lakini

Kama Mr Nice alikuwa anaachia nyimbo mpaka inafika kipindi anashindwa kuwaletea watu kitu kipya maana anafyatua mno
 
Kama Mr Nice alikuwa anaachia nyimbo mpaka inafika kipindi anashindwa kuwaletea watu kitu kipya maana anafyatua mno

Yaah,,hili ni kosa sana kwenye Sanaa hasa hapa Bongo
 
Hili ni tatizo wanatoa nyimbo nyingi kwa wakati mmoja! Kuna nyimbo mbili zao mpya nimezisikia hii ya tatu sasa! Wanatakiwa kuzipa nafasi nyimbo zao!
 
Hii game ya tanzania inataka management nzuri nafikir wazo la fela nikufanya madogo wauze albam jambo ambalo linaweza kuinua vipato vyao na jina kwa nchi jirani
 
watachuja haraka coz wanatoa nyingi ndan ya mda mfupi, kwanini wanafanya hivi?
Historia haishawishi kama Fella ni mtu wa kuchuja haraka... haya mambo ni management tu... ukishakuwa na management inayofahamu vizuri fitina za muziki wa TZ, utaendelea kudumu kwa muda mrefu na ndio maana hata pale watu walipozani Wanaume Family inabebwa na Juma Nature, ika-prove wrong baada ya Nature kujitoa na kuunda Wanaume Halisi huku Fella akiendelea kukimbiza na Wanaume Family ile ile ambayo watu walikuwa wanaipiga chupa za maji jukwaani!!!
 
Hii game ya tanzania inataka management nzuri nafikir wazo la fela nikufanya madogo wauze albam jambo ambalo linaweza kuinua vipato vyao na jina kwa nchi jirani
Tatizo la Fella ni zulmati labda kama amejirekebisha siku hizi otherwise, yupo vizuri sana katika management.
 
Hili ni tatizo wanatoa nyimbo nyingi kwa wakati mmoja! Kuna nyimbo mbili zao mpya nimezisikia hii ya tatu sasa! Wanatakiwa kuzipa nafasi nyimbo zao!
Lakini Fella namuaminia sana linapokuja suala la management katika muziki... Fella ni mzoefu kwenye haya mambo; it's almost ten years now so, I believe anajua anachokifanya!! Unajua muziki wa bendi ni wa jukwaani sasa unapofanya muziki wajukwaani ni lazima audience ifahamu nyimbo zako ili pawe na participatory show kati ya musicians na audience... sasa kwavile Ya Moto haina muda mrefu nadhani ni sahihi kuifanya audience izifahamu angalau nyimbo tatu nne kutoka kwao ili mkikutana jukwaani mchizishane... nothing disappoint kwenye muziki wa jukwaani kama mnaimba, mnhangaika huku na kweli lakini audience inawakodolea macho tu... hawatoi ushirikiano kwavile nyimbo zenu hawazifahamu! Kwavile wanaanza... wanahitaji kutambulisha nyimbo zao chache ili biashara iweze kunoga!!
 
Hii game ya tanzania inataka management nzuri nafikir wazo la fela nikufanya madogo wauze albam jambo ambalo linaweza kuinua vipato vyao na jina kwa nchi jirani

Nafikiri lengo la Fela ni kutaka kundi liwe na nyimbo nyingi zilizosikika hewani ili iwarahisishie madogo wanapofanya show, maana mashabiki ukiwaletea nyimbo ambazo hawajawahi kuzisikia inakuwa shughuli kuwashawishi kukupa shangwe ukiwa jukwaani
 
Hiyo ndio sababu kubwa... bendi lake ni jukwaa na unapofanya muziki wa jukwaani unanoga pale tu kunapokuwa na ushirikiano kutoka kwa mashabiki na ushirikiano unakuja pale tu mashabiki wanapozifahamu nyimbo zako! So, kabla mtu hujapanda jukwaani inapendeza mashabiki wanapokuwa wamezifahamu angalau nyimbo tat hadi tano! Fella linapokuja suala la muziki huwa habaatishi... huwa anafahamu anachokifanya!
 
Back
Top Bottom