Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Hao jamaa sisikiagi nyimbo zao zinachezwa wapi hadi walinganishwe na Yamato Bendi.
we km mimi mi siwaelewagi nyimbo zao zinapigwa clouds tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao jamaa sisikiagi nyimbo zao zinachezwa wapi hadi walinganishwe na Yamato Bendi.
Mhhh hiyo miss koikoi kaitoa lini jamani?
kabla ya ndagushima but haikufanikiwa kubamba (but for me, naona ni mzuri kuliko ndagushima)
nshawahi kuskia kuna nyimbo inaitwa miss koi koi
we km mimi mi siwaelewagi nyimbo zao zinapigwa clouds tu
HakiyaMungu leo ndio nimesikia...hahahaaa eti miss koikoi (ni panya kwa kichagga)
Hana jipya yule na hiyo ndagushima kilichoisaidia ni video...amshukuru sana Bella la sivyo tungeshamsahau...
ht ndagushima mi naonaga kichina tuuu
nyimbo zake nzuri tu kwa mtazamk wangu
nainai na baadae
kwi kwi kwii paka wa kichaga
Hana jipya yule na hiyo ndagushima kilichoisaidia ni video...amshukuru sana Bella la sivyo tungeshamsahau...
kabla ya ndagushima but haikufanikiwa kubamba (but for me, naona ni mzuri kuliko ndagushima)
Kitu nainai bwana hasa pale kwenye chorus....uwiiiiiiii Kiba alimfunika vibaya sana mbwa yule sasa hivi anamdharau hata alivyotoa wimbo wa mwana hakumsapoti...tena nikiingia insta nam unfollow mjinga sana

Miss koikoi ulirekodiwa mda sana..
Ilikua baada ya Nainai,lakin akaucha studiokwa manecky kwa mda mrefu sana,mpaka manecky alipo uvujisha..
So it was nt officialy released
Ukiangalia kwa makini vdeo ya nainai ile sehemu ambyo ommydimpoz anajiita superhandsome,alikiba anamcheka sana huku akijshka kchwa..ndo sabab ya kutoelewana
Angalia picha hii...

nyimbo zake nzuri bana acha kumbania
nakumbuka alipata tuzo kwa wimbo ule