Yamoto band kwa speed hii hamkamatiki

Yamoto band kwa speed hii hamkamatiki

Ukiangalia kwa makini vdeo ya nainai ile sehemu ambyo ommydimpoz anajiita superhandsome,alikiba anamcheka sana huku akijshka kchwa..ndo sabab ya kutoelewana

Angalia picha hii...

Hhaaaa somji km we sio kiba baas abdu kiba maana wamjua vyema au bob junior
 
Yeah...amshukuru sana Kiba mjinga yule...
Pia Kiba alipata ya dushelele...hahahaaa watu walivyolitafsiri hilo jina na sheeda..

kiba mzuri mashallah tu
dushelele yaani umenichekesha sana
 
Hawa watoto niliona wanahojiwa star tv walikua wamepauka,wachafu wachafu au waliamua hivyooo
 
Back
Top Bottom