Yamoto band kwa speed hii hamkamatiki

Kwa upande mwingine wanaweza kuwa right kutoa nyimbo nyingi maana mziki wa live unahitaji nyimbo za kutosha na prngine tunazo zisikia hazijatolewa rasmi maredioni!

All in all Fella namuaminia sana na ninapenda kazi za hawa madogo sana wanaimba nyimbo zinazo endana nao na zinazo gusa watu wote!
 
Ki ukweli madogo wanajua... si utani nadhani hata Skylight Band sasa ndo kapata mshindani kweli kweli wote wanapiga staili ya muziki wa bendi wenye bongo flavor.
 
Yaaah yaah muzuki wa live unahitaji nyimbo za kutosha na nyingi huwa zinaanza kuhit majukwaani kabla ya redio! Tofauti na wabongo fleva wanao imba dakika tatu kila show wimbo huo huo mwanzo mwisho!
 
NASDAZ NA RUTTASHOBOLWA Mulichokiongea ni kweli mtupu nakubaliana na nyinyi kwa 100%
 
wimbo umetulia,napenda chorus na pale anapoimba Aslay kachukua tune ya wimbo fulani miaka ya nyuma toka kongo kama sikosei
 
Kweli kabisa...wanatoa nyimbo nyingi hata sijui wanajiamini nini...muda utatuambia lakini

Hivi mimi nitoe kiingilio changu kwenda kwa Jux mwenye nyimbo moja au Ommy Dimpoz mwenye nyimbo 3? No way.
 
Dogo asley alipata mtoto!

Mhhhh ni sheedah mazee,yule naye asipokua makini atakufa kwa ugonjwa wa kifua maana wadada/mashangingi ya mujini yanamgombania hatariiii
Hivi bado anasoma?kumbukumbu zangu alitakiwa awe anafanya nexta this time
 
Hivi mimi nitoe kiingilio changu kwenda kwa Jux mwenye nyimbo moja au Ommy Dimpoz mwenye nyimbo 3? No way.

Aaaarrrggg hata bure siendi kwenye show za hao walamba lips wa mjini mimi....
 
Hivi mimi nitoe kiingilio changu kwenda kwa Jux mwenye nyimbo moja au Ommy Dimpoz mwenye nyimbo 3? No way.

1. Nainai
2. Baadae
3. Me & U
4. Tupogo
5. Miss Koikoi
6. Ndagushima

# Get your facts right
 
Trust me... mbele ya mikono ya Fella lazima watafika mbali tu, angalau kimafanikio ya muziki hayo mengine, yana taabu zake!!

Amina, nawasubiri kwa hamu washuke mwanza
 
Ki ukweli madogo wanajua... si utani nadhani hata Skylight Band sasa ndo kapata mshindani kweli kweli wote wanapiga staili ya muziki wa bendi wenye bongo flavor.
Hao jamaa sisikiagi nyimbo zao zinachezwa wapi hadi walinganishwe na Yamato Bendi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…