Yamoto band kwa speed hii hamkamatiki

kabla ya ndagushima but haikufanikiwa kubamba (but for me, naona ni mzuri kuliko ndagushima)

Hana jipya yule na hiyo ndagushima kilichoisaidia ni video...amshukuru sana Bella la sivyo tungeshamsahau...
 
ht ndagushima mi naonaga kichina tuuu
nyimbo zake nzuri tu kwa mtazamk wangu
nainai na baadae
 
ht ndagushima mi naonaga kichina tuuu
nyimbo zake nzuri tu kwa mtazamk wangu
nainai na baadae

Kitu nainai bwana hasa pale kwenye chorus....uwiiiiiiii Kiba alimfunika vibaya sana mbwa yule sasa hivi anamdharau hata alivyotoa wimbo wa mwana hakumsapoti...tena nikiingia insta nam unfollow mjinga sana
 
Nzuri nyimbo zao na sauti Mashallah........wasiziharibu tuuu............
 
kabla ya ndagushima but haikufanikiwa kubamba (but for me, naona ni mzuri kuliko ndagushima)

Miss koikoi ulirekodiwa mda sana..
Ilikua baada ya Nainai,lakin akaucha studiokwa manecky kwa mda mrefu sana,mpaka manecky alipo uvujisha..
So it was nt officialy released
 
Kitu nainai bwana hasa pale kwenye chorus....uwiiiiiiii Kiba alimfunika vibaya sana mbwa yule sasa hivi anamdharau hata alivyotoa wimbo wa mwana hakumsapoti...tena nikiingia insta nam unfollow mjinga sana

nakumbuka alipata tuzo kwa wimbo ule
 
Ukiangalia kwa makini vdeo ya nainai ile sehemu ambyo ommydimpoz anajiita superhandsome,alikiba anamcheka sana huku akijshka kchwa..ndo sabab ya kutoelewana

Angalia picha hii...
 
Attachments

  • Screenshot_2014-11-11-17-08-16.png
    53.8 KB · Views: 151
Miss koikoi ulirekodiwa mda sana..
Ilikua baada ya Nainai,lakin akaucha studiokwa manecky kwa mda mrefu sana,mpaka manecky alipo uvujisha..
So it was nt officialy released

nimekupata,ni mzuri aisee naupenda
 
Ukiangalia kwa makini vdeo ya nainai ile sehemu ambyo ommydimpoz anajiita superhandsome,alikiba anamcheka sana huku akijshka kchwa..ndo sabab ya kutoelewana

Angalia picha hii...

duh mawazo mengine bwana
 
Ukiangalia kwa makini vdeo ya nainai ile sehemu ambyo ommydimpoz anajiita superhandsome,alikiba anamcheka sana huku akijshka kchwa..ndo sabab ya kutoelewana

Angalia picha hii...

Hhhaaaaa hata mimi nilikua nachekaga alivyokua anajisifia hivyo...kama yeye ni super handsome Kiba asemeje???
 
nakumbuka alipata tuzo kwa wimbo ule

Yeah...amshukuru sana Kiba mjinga yule...
Pia Kiba alipata ya dushelele...hahahaaa watu walivyolitafsiri hilo jina na sheeda..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…