duh mawazo mengine bwana
Ukiangalia kwa makini vdeo ya nainai ile sehemu ambyo ommydimpoz anajiita superhandsome,alikiba anamcheka sana huku akijshka kchwa..ndo sabab ya kutoelewana
Angalia picha hii...
Yeah...amshukuru sana Kiba mjinga yule...
Pia Kiba alipata ya dushelele...hahahaaa watu walivyolitafsiri hilo jina na sheeda..
Haya sio mawazo yangu,huu ni ukweli..
Kama hutak acha..
Siwez nikakupa ushahd na ilikuwaje kwa7bu tayar umeshamin tofaut
kiba mzuri mashallah tu
dushelele yaani umenichekesha sana