Chief, uwe unaweka vizuri title, nilivosoma " ya moto iko wapi" nikajua unaulizia maeneo yenye " papuch.i za moto! Moto!!!." Sorry kama ntakuwa nimekukwaza...
nilitaka kusema ni uongo. ila kwakuwa ni we itakuwa kweliWana mgogoro wa chini kwa chini na mkubwa Fella..
Hata kwenye zile nyumba alizowajengea wamehama!
Kwakuwa wenyewe wameamua kufanya mgogoro wao private na mimi nisiongee Mengi sana..
Ila naumia sana kwa wadogo zangu hawa (hasa Aslay) kukubali kushikiwa akili na Maromboso.. Aka kajamaa (maromboso) ukikaona kwa TV kanaonekana very innocent ila kana roho mbaya and very negative.!!
Nakuombea Boss Fella hawa watoto akili ziwarudie huu mgogoro uishe..
Achaaa ujinga ww mbona mwenyew wema hajasafisha nyota yake anakalia kucheza porno tuuTatizo nyota..!
Naye si aendage kwa Wema nasikiaga heti w
Wema anaswafishaga nyota yaani ukimpitia tu unakuwa maarufu kama "Dawimondu"
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli wewe ni mzaramo khaswaaa.
Kunamwezi walitoa ngoma mbili mbiliThey over-saturated the market.
They were releasing new tracks just about every other month and it's only natural that consumers got tired of them.
Time for them to lay low and regroup.
The bold fungukaWana mgogoro wa chini kwa chini na mkubwa Fella..
Hata kwenye zile nyumba alizowajengea wamehama!
Kwakuwa wenyewe wameamua kufanya mgogoro wao private na mimi nisiongee Mengi sana..
Ila naumia sana kwa wadogo zangu hawa (hasa Aslay) kukubali kushikiwa akili na Maromboso.. Aka kajamaa (maromboso) ukikaona kwa TV kanaonekana very innocent ila kana roho mbaya and very negative.!!
Nakuombea Boss Fella hawa watoto akili ziwarudie huu mgogoro uishe..
Tunda Man kishajitoa Tip top anasema huu mwaka wa nne Tale ajafanya kitu chochote kwake kama meneja wake ilikuwa hata aki-record nyimbo kwa pesa yake mwenyewe na kumpelekea Tale aisambaze kwenye Radio station Tale anachukua ile cd na kuishia kusikiliza kwenye gari yake.Japo unaongea kimasihara ila unachosema ndio ukweli wenyewe, nawahurumia kina Tunda man
Me nataka niwe nakuogesha na kukuvalisha nanilihii. Sawa.babu tale na mkubwa fela wanawaogesha kina tiffa
sallam amechukua nafasi yao maana hawajui kiingereza hawana kazi yoyote wasafi ila wapo tu wabeba pampas za zari wale
jiulize diamond mameneja watatu wa nin huku yamoto ikiachwa ife?
Mr Wenger, actually Sane was offside isn't it?[emoji23] [emoji23]Su-Yamoto ft Rubi ilitoka mwezi wa sita mwaka huu, baada ya show za hapa na pale ikaja project ya Coke Studio ikawaweka bize kidogo.Kwa hiyo ni mapema sana kusema wamepotea kumbuka hata Aje ya Alikiba ilitoka mwezi wa tano mwaka huu na mpaka leo Kiba hajatoa track mpya lakini hatuwezi kusema amepotea.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu usinikumbushe machungu naona safari hii nitatimuliwaMr Wenger, actually Sane was offside isn't it?[emoji23] [emoji23]
Mr Wenger, actually Sane was offside isn't it?[emoji23] [emoji23]
kunguru hafuguki mkuu..watoto wa uswazi ni ngumu kuwa maintain(wajifunze kwa kina Juma Nature)Madogo wamevimba kichwa wamejisahau.!
Kuna siku niliwahi kukutana nao studio flani hivi sio maarufu saaana kuna tangazo audio nilipeleka kufanya mastering kwa producer, ni mwana...
Ndio nikawakuta hawa madogo, daaaahh maneno waliyokuwa wanaongea aisee walinisikitisha sana!
Wamejisahau mno, na wamevimba kichwa.. Hasa huyu Maromboso ndio hopeless kabisa
Wako jikoni wanaandaa Vitu ili warejeeHivi band ya Yamoto ipo wapi sikuizi mbona??
Kwa ushindani huu wa sasa naona tunakaribia kuwakosa kimuziki