Yamoto ipo wapi??

Yamoto ipo wapi??

Chief, uwe unaweka vizuri title, nilivosoma " ya moto iko wapi" nikajua unaulizia maeneo yenye " papuch.i za moto! Moto!!!." Sorry kama ntakuwa nimekukwaza...

Duh! Ila jf kiboko!
 
Wana mgogoro wa chini kwa chini na mkubwa Fella..

Hata kwenye zile nyumba alizowajengea wamehama!

Kwakuwa wenyewe wameamua kufanya mgogoro wao private na mimi nisiongee Mengi sana..

Ila naumia sana kwa wadogo zangu hawa (hasa Aslay) kukubali kushikiwa akili na Maromboso.. Aka kajamaa (maromboso) ukikaona kwa TV kanaonekana very innocent ila kana roho mbaya and very negative.!!

Nakuombea Boss Fella hawa watoto akili ziwarudie huu mgogoro uishe..
nilitaka kusema ni uongo. ila kwakuwa ni we itakuwa kweli
 
Tatizo nyota..!
Naye si aendage kwa Wema nasikiaga heti w
Wema anaswafishaga nyota yaani ukimpitia tu unakuwa maarufu kama "Dawimondu"
Achaaa ujinga ww mbona mwenyew wema hajasafisha nyota yake anakalia kucheza porno tuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli wewe ni mzaramo khaswaaa.
 
Wale vijana ni Vipaji. Hawawezi potea kirahisi.
 
Chief, uwe unaweka vizuri title, nilivosoma " ya moto iko wapi" nikajua unaulizia maeneo yenye " papuch.i za moto! Moto!!!." Sorry kama ntakuwa nimekukwaza...
"Yamoto" not Ya moto
 
They over-saturated the market.

They were releasing new tracks just about every other month and it's only natural that consumers got tired of them.

Time for them to lay low and regroup.
Kunamwezi walitoa ngoma mbili mbili
 
Wana mgogoro wa chini kwa chini na mkubwa Fella..

Hata kwenye zile nyumba alizowajengea wamehama!

Kwakuwa wenyewe wameamua kufanya mgogoro wao private na mimi nisiongee Mengi sana..

Ila naumia sana kwa wadogo zangu hawa (hasa Aslay) kukubali kushikiwa akili na Maromboso.. Aka kajamaa (maromboso) ukikaona kwa TV kanaonekana very innocent ila kana roho mbaya and very negative.!!

Nakuombea Boss Fella hawa watoto akili ziwarudie huu mgogoro uishe..
The bold funguka
 
ni hivi jaman yamoto imesimama kwa muda coz tayar fella kaanzisha bendi mpya ya taarab inayoitwa YAH TEMEKE MODERN TAARAB NA UZINDUZI ULIKUA JUMAMOS
 
Japo unaongea kimasihara ila unachosema ndio ukweli wenyewe, nawahurumia kina Tunda man
Tunda Man kishajitoa Tip top anasema huu mwaka wa nne Tale ajafanya kitu chochote kwake kama meneja wake ilikuwa hata aki-record nyimbo kwa pesa yake mwenyewe na kumpelekea Tale aisambaze kwenye Radio station Tale anachukua ile cd na kuishia kusikiliza kwenye gari yake.
Na hata wakati ule Cassim mganga alivyojitoa Tip top nae alisema neno kama hili kuwa Tale sio baba bora.
 
babu tale na mkubwa fela wanawaogesha kina tiffa
sallam amechukua nafasi yao maana hawajui kiingereza hawana kazi yoyote wasafi ila wapo tu wabeba pampas za zari wale
jiulize diamond mameneja watatu wa nin huku yamoto ikiachwa ife?
Me nataka niwe nakuogesha na kukuvalisha nanilihii. Sawa.
 
Su-Yamoto ft Rubi ilitoka mwezi wa sita mwaka huu, baada ya show za hapa na pale ikaja project ya Coke Studio ikawaweka bize kidogo.Kwa hiyo ni mapema sana kusema wamepotea kumbuka hata Aje ya Alikiba ilitoka mwezi wa tano mwaka huu na mpaka leo Kiba hajatoa track mpya lakini hatuwezi kusema amepotea.
Mr Wenger, actually Sane was offside isn't it?[emoji23] [emoji23]
 
Mr Wenger, actually Sane was offside isn't it?[emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu usinikumbushe machungu naona safari hii nitatimuliwa
 
Wamelelewa na wamekuwa , wacha wapambane
 
Mr Wenger, actually Sane was offside isn't it?[emoji23] [emoji23]
1482150269101.jpg
It was a clear offside [emoji22]
 
Madogo wamevimba kichwa wamejisahau.!

Kuna siku niliwahi kukutana nao studio flani hivi sio maarufu saaana kuna tangazo audio nilipeleka kufanya mastering kwa producer, ni mwana...
Ndio nikawakuta hawa madogo, daaaahh maneno waliyokuwa wanaongea aisee walinisikitisha sana!
Wamejisahau mno, na wamevimba kichwa.. Hasa huyu Maromboso ndio hopeless kabisa
kunguru hafuguki mkuu..watoto wa uswazi ni ngumu kuwa maintain(wajifunze kwa kina Juma Nature)
 
Back
Top Bottom