Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Kuhusu bodaboda wapewe mwisho lita 2 lilikuwa suala kupitiwa wakati wakiwa wanasikiliza maelezo toka kwa wakubwa wao.
Makanusho ya serikali ya CCM ni kwamba wanachotaka kukifanya kilisha link na ndio maana wanatoa vitisho kwa njia yoyote.
Walikanusha mfumo wa NIDA na CCM na tume ya uchaguzi ila leo uchaguzi mmejionea yani nusu ya watanzania ndio wamemchagua.
Waziri mkuu aliyechaguliwa yeye anakanusha kuwa hakuna mauaji na kutoa vitisho .
Sasa matundu ya choo toka ICC wakanushe wakifika 2026 Desemba😄