Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 1,604
- 3,715
Najua CHADEMA Huwa hawapendi kuambiwa chochote. Muda wote wanaona wako sahihi .usiwakosoe usiwaambie hapa mnapotea au pale pametoboka.
Wana haiba ya ujuaji ingawa sio wote. Kivyovyote vile lazima tuwaambie ukweli ,CHADEMA ya Sasa imepoa hata viongozi wake wamepoa sana ,hatuoni zile harakati ambazo ziliingia mpaka vijijini
Kila sehemu tulikuwa tunasikia neno people's power .Leo mbowe kimya,mnyika kimya ,lissu ndio vile Tena ,siku zinaenda nammiss sana Dk Slaa