Yanahitajika mageuzi ya haraka sana CHADEMA, chama kinapoteza ladha

Yanahitajika mageuzi ya haraka sana CHADEMA, chama kinapoteza ladha

Ww mwenyewe unayeishauri CDM bado kwa umri huo unategemea tenda za serikali ili maisha yako yasonge. Kama una ushauri mzuri, kwanini usiutumie wewe mwenyewe kuwa na chama kikubwa kama republican? Hukupaswa kuvizia vijikura kwenye utawala ulionajisi demokrasia ya nchi hii kama kipindi cha Nyerere.

Kaa kimya tu bro, rangi yako halisi ilionekana kipindi cha Magufuli, ulijua kabisa huna uwezo wa kugombea kipindi demokrasia ilipokuwa na ahueni, ukasubiri kipindi cha usukuma ndio ugombee, huku washindi wa CCM wakitangazwa kwa maagizo ya rais, na kuratibiwa na taasisi za dola.
 
Watu wote wenye mapenzi mema na taifa hili, wanawajibu wa kuisaidia Chadema isife.
P.

CDM inaweza kufa na wala ww huna uwezo wowote wa kusaidia isife, maana CDM haitakufa kwa ushindani wa kisiasa, bali kwa nguvu za dola zinazotumika vibaya. Ifahamike CDM sio chama cha msituni, useme kitaweza kushindana na nguvu ya dola , kwani sio kila mfuasi wa CDM ataweza kubambikiwa kesi, kufungwa, kuhujumiwa shughuli zake za kumuingizia kipato nk, na bado akavumilia.

Usitake kupotosha kuwa CDM itakufa kwa sababu ya kukosa ushawishi kwa umma, au porojo nyingine unazotaka kuleta.
 
Ww mwenyewe unayeishauri CDM bado kwa umri huo unategemea tenda za serikali ili maisha yako yasonge.
Kumbe kuna umri wa ukomo kuomba tender za serikali?. Ni umri gani?.
Kama una ushauri mzuri, kwanini usiutumie wewe mwenyewe kuwa na chama kikubwa kama republican?
Ninakishauri sana changu.
Hukupaswa kuvizia vijikura kwenye utawala ulionajisi demokrasia ya nchi hii kama kipindi cha Nyerere.
Elections 2015 - If you can't beat them, join them! He is the worst dictator. Let's pray for him!, I have joined them and push for the changes from within!.
Kaa kimya tu bro, rangi yako halisi ilionekana kipindi cha Magufuli, ulijua kabisa huna uwezo wa kugombea kipindi demokrasia ilipokuwa na ahueni, ukasubiri kipindi cha usukuma ndio ugombee, huku washindi wa CCM wakitangazwa kwa maagizo ya rais, na kuratibiwa na taasisi za dola.
Duh...!.
Haya bana nakaa kmya
P
 
Back
Top Bottom