godson Lomayani
JF-Expert Member
- Dec 31, 2018
- 538
- 711
Wapi yanaposhonwa Mkuu?Mashati ya vitenge Akishona kwa vipimo size ya mwili wake atapendeza sana
Wapi yanaposhonwa Mkuu?
Asante sana MkuuTembea kwa mafundi kushona nguo,kitengee unanunua wewe mwenyewe anakupima kisha anashona,
Batiki gharama kidogo kwa sababu inauzwa kwa jola sio kwa piece kama ilivyo kwa vitenge
Muone huyo Yuko msimbazi Centre yuko vizuri sana 0717005592Wakuu naishi Kibaha, Mkuza Nina ndugu yangu mpenzi sana wa mashati ya batiki na vitenge. Tafadhali kama kuna yeyote ana fahamu yanapopatikana anijuze tafadhali na bei yake. Yawe yameshonwa vizuri. Nawasilisha Wakuu kwa majibu yenu.
Dah mzee wa Mkuza umenikumbusha mbali sana pale mto mkuza niliwahi kufanya kituko sana utotoni kipindi dingi anapiga mzigo shirika la elimu kibahaWakuu naishi Kibaha, Mkuza Nina ndugu yangu mpenzi sana wa mashati ya batiki na vitenge. Tafadhali kama kuna yeyote ana fahamu yanapopatikana anijuze tafadhali na bei yake. Yawe yameshonwa vizuri. Nawasilisha Wakuu kwa majibu yenu.
Nashukuru MkuuMuone huyo Yuko msimbazi Centre yuko vizuri sana 0717005592
OkDah mzee wa Mkuza umenikumbusha mbali sana pale mto mkuza niliwahi kufanya kituko sana utotoni kipindi dingi anapiga mzigo shirika la elimu kibaha
Nashukuru Mkuu, lakini sehemu gani?Kuna mashati haya yanauzwa..Ni ya batiki mengine ya vitenge.
Unashonewa kulingana na size unayotaka na kitenge au batiki uliyoipendaView attachment 1178813View attachment 1178816
Yanapatikana wapi?Kuna mashati haya yanauzwa..Ni ya batiki mengine ya vitenge.
Unashonewa kulingana na size unayotaka na kitenge au batiki uliyoipendaView attachment 1178813View attachment 1178816
Asante sana Mkuu, lakini ni kiwango?Mashati ya batiki na vitenge yaliyoshonwa utayapata Mnazi mmoja baada ya mataa.Karibu maduka yote ya hapo mnazi mmoja yanauza .bei ni tangu 10.000 na kuendelea kutegemea material na mtindo
Nashukuru Mkuu, lakini sehemu gani?
Mbeya.Yanapatikana wapi?
Kuna mashati haya yanauzwa..Ni ya batiki mengine ya vitenge.
Unashonewa kulingana na size unayotaka na kitenge au batiki uliyoipendaView attachment 1178813View attachment 1178816
Nakushukuru BroMchikichini ,pale karume... Bei rahisi saaaana na ni OG
.
Aseee wapi haya nipate moja angalau kwa ajili ya bro wanguKuna mashati haya yanauzwa..Ni ya batiki mengine ya vitenge.
Unashonewa kulingana na size unayotaka na kitenge au batiki uliyoipendaView attachment 1178813View attachment 1178816
MbeyaAseee wapi haya nipate moja angalau kwa ajili ya bro wangu