Yanapouzwa mashati ya batiki na vitenge kwa wanaume

Yanapouzwa mashati ya batiki na vitenge kwa wanaume

Mchikichini ,pale karume... Bei rahisi saaaana na ni OG
.
Nahisi OG imemaanisha original, lakini sijaelewa original uliyoisema wewe kwenye hizo nguo za karume umemaanisha nini au nini maana ya original?!
 
Nahisi OG imemaanisha original, lakini sijaelewa original uliyoisema wewe kwenye hizo nguo za karume umemaanisha nini au nini maana ya original?!
Amemaanisha Batiki na vitenge ni vitu genuine na sio vya kubumba!
 
Daa nmeyaelewa mno hasa namna yalivyoshonwa vzr yanautofauti na yale mashati wanayovaa waalimu na wachungaji. Haya yamemodolewa poa sn
 
Anapatikana mbeya
Yanaenda mwa order
Ukiweka order yako unashonewa kulingana na size
Sasa mkuu hiyo size utaijuaje kwa tulio mbali na ulipo!!

Mfano mimi nalihitaji lishonwe vizuri unaitumie utapataje size harafu size mimi sijui navaa size gani
 
Back
Top Bottom