Yanapouzwa mashati ya batiki na vitenge kwa wanaume

kuna ndugu yangu alikosa mke kisa SHATI LA KITENGE......... Alijiandaa kwa mtoko ama vijana wa mjini mnaita Outting/Date nadhani. Ndugu yyangu alichagua sana nguo akakosa kabisa ni nguo gani itamvutia dada yule mwishowe akaona avae SHATI LAKE LA KITENGE ili aonekane Gentleman kama msemavyo wenyewe. Kajikongoja huyooo mpaka eneo la kukutania, Lahaula ile kufika yule dada akasema Kaka nilianza kukupenda ila kwa SHATI HILO HUJANIBARIKI HATA KIDOGO, ndugu yangu alidhania pengine huenda ni utani kumbe sivyo. Baada ya pale aliwekwa friendzone milele. Kuanzia siku ile hataki kusikia habari za VITENGE WALA BATIKI TENA.
 
Inategemea rangi yake na limeshonwaje, batiki au kitenge likishonwa kwa kufuata size ya umbo la mtu kwa kweli linapendeza na kutulia mwilini.Inawezekana kabisa huyo ndugu yako hakuzingatia size ya umbo lake alivaa shati la kitenge ambalo lilikuwa oversize na pia huenda colour haikuwa nzuri. Hapo lazima mdada akukimbie.
 
Kiujumla yule dada hakubarikiwa na wanaume wanaovaa mashati ya vitenge.
 
kuna ndugu yangu alikosa mke kisa SHATI LA KITENGE......... Alijiandaa kwa mtoko ama vijana wa mjini mnaita Outting/Date nadhani. Ndugu yyangu alichagua sana nguo akakosa kabisa ni nguo gani itamvutia dada yule mwishowe akaona avae SHATI LAKE LA KITENGE ili aonekane Gentleman kama msemavyo wenyewe. Kajikongoja huyooo mpaka eneo la kukutania, Lahaula ile kufika yule dada akasema Kaka nilianza kukupenda ila kwa SHATI HILO HUJANIBARIKI HATA KIDOGO, ndugu yangu alidhania pengine huenda ni utani kumbe sivyo. Baada ya pale aliwekwa friendzone milele. Kuanzia siku ile hataki kusikia habari za VITENGE WALA BATIKI TENA.
Huyo hakuwa mke.
 
Huyo alikua jambazi anayemiliki uke na wala sio mwanamke,
Alitoa sababu ya kipumbavu sana ni limbukeni na mshamba mpaka kutembea.
Huyo mwanaume angekua wa kizungu angemuweka friend zone
Na kama ndio first meeting mshkaji alienda na usafiri gani
Hpo kuna sababu nyingine kitenge kimetafutiwa sababu
 
Back
Top Bottom