Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Ni mazuri SanaAise. ..so adorable
Aseee wapi haya nipate moja angalau kwa ajili ya bro wangu
Inategemea rangi yake na limeshonwaje, batiki au kitenge likishonwa kwa kufuata size ya umbo la mtu kwa kweli linapendeza na kutulia mwilini.Inawezekana kabisa huyo ndugu yako hakuzingatia size ya umbo lake alivaa shati la kitenge ambalo lilikuwa oversize na pia huenda colour haikuwa nzuri. Hapo lazima mdada akukimbie.kuna ndugu yangu alikosa mke kisa SHATI LA KITENGE......... Alijiandaa kwa mtoko ama vijana wa mjini mnaita Outting/Date nadhani. Ndugu yyangu alichagua sana nguo akakosa kabisa ni nguo gani itamvutia dada yule mwishowe akaona avae SHATI LAKE LA KITENGE ili aonekane Gentleman kama msemavyo wenyewe. Kajikongoja huyooo mpaka eneo la kukutania, Lahaula ile kufika yule dada akasema Kaka nilianza kukupenda ila kwa SHATI HILO HUJANIBARIKI HATA KIDOGO, ndugu yangu alidhania pengine huenda ni utani kumbe sivyo. Baada ya pale aliwekwa friendzone milele. Kuanzia siku ile hataki kusikia habari za VITENGE WALA BATIKI TENA.
Mbona mazuri sana,muuzaji anapatikana wapi?Kuna mashati haya yanauzwa..Ni ya batiki mengine ya vitenge.
Unashonewa kulingana na size unayotaka na kitenge au batiki uliyoipendaView attachment 1178813View attachment 1178816
Kiujumla yule dada hakubarikiwa na wanaume wanaovaa mashati ya vitenge.Inategemea rangi yake na limeshonwaje, batiki au kitenge likishonwa kwa kufuata size ya umbo la mtu kwa kweli linapendeza na kutulia mwilini.Inawezekana kabisa huyo ndugu yako hakuzingatia size ya umbo lake alivaa shati la kitenge ambalo lilikuwa oversize na pia huenda colour haikuwa nzuri. Hapo lazima mdada akukimbie.
Huyo hakuwa mke.kuna ndugu yangu alikosa mke kisa SHATI LA KITENGE......... Alijiandaa kwa mtoko ama vijana wa mjini mnaita Outting/Date nadhani. Ndugu yyangu alichagua sana nguo akakosa kabisa ni nguo gani itamvutia dada yule mwishowe akaona avae SHATI LAKE LA KITENGE ili aonekane Gentleman kama msemavyo wenyewe. Kajikongoja huyooo mpaka eneo la kukutania, Lahaula ile kufika yule dada akasema Kaka nilianza kukupenda ila kwa SHATI HILO HUJANIBARIKI HATA KIDOGO, ndugu yangu alidhania pengine huenda ni utani kumbe sivyo. Baada ya pale aliwekwa friendzone milele. Kuanzia siku ile hataki kusikia habari za VITENGE WALA BATIKI TENA.
Wow!! Mazuri sana.Kuna mashati haya yanauzwa..Ni ya batiki mengine ya vitenge.
Unashonewa kulingana na size unayotaka na kitenge au batiki uliyoipendaView attachment 1178813View attachment 1178816
Anapatikana mbeyaMbona mazuri sana,muuzaji anapatikana wapi?
Ama pengine ndugu yangu hakua muoaji...... Yote huenda yalikua sawa kwa mustakabali ule.Huyo hakuwa mke.
Wanashona kwa bei gani ?Kuna mashati haya yanauzwa..Ni ya batiki mengine ya vitenge.
Unashonewa kulingana na size unayotaka na kitenge au batiki uliyoipendaView attachment 1178813View attachment 1178816
kuna ndugu yangu alikosa mke kisa SHATI LA KITENGE......... Alijiandaa kwa mtoko ama vijana wa mjini mnaita Outting/Date nadhani. Ndugu yyangu alichagua sana nguo akakosa kabisa ni nguo gani itamvutia dada yule mwishowe akaona avae SHATI LAKE LA KITENGE ili aonekane Gentleman kama msemavyo wenyewe. Kajikongoja huyooo mpaka eneo la kukutania, Lahaula ile kufika yule dada akasema Kaka nilianza kukupenda ila kwa SHATI HILO HUJANIBARIKI HATA KIDOGO, ndugu yangu alidhania pengine huenda ni utani kumbe sivyo. Baada ya pale aliwekwa friendzone milele. Kuanzia siku ile hataki kusikia habari za VITENGE WALA BATIKI TENA.
Tuma na picha tafadhaliMchikichini ,pale karume... Bei rahisi saaaana na ni OG
.
Hakika alikuwa mkekaHuyo hakuwa mke.
Namba zake za simu tafadhali kama unazoAnapatikana mbeya
Yanaenda mwa order
Ukiweka order yako unashonewa kulingana na size
Ok thanksMuone huyo Yuko msimbazi Centre yuko vizuri sana 0717005592
0621592514Namba zake za simu tafadhali kama unazo
Yaaaa nampenda mnooo bro wangu amini yaani I wish kila kitu kizuri cha kiume nimnunulieMmh mbona ume edit story jamani. ..? Ni broh wako kweli au ni koh koh koh
Mbeya