Kuna kaka yangu yupo mbeya nitamwagiza angalau mawili,mazuri Sana nimechukua namba tayarKuna mashati haya yanauzwa..Ni ya batiki mengine ya vitenge.
Unashonewa kulingana na size unayotaka na kitenge au batiki uliyoipendaView attachment 1178813View attachment 1178816
Mhusika namba Yake hiyo 0621592514
Sema shida ipo hapoOooh doh[emoji29][emoji29][emoji29] mbeya mtwara safari ndefu mno
Mtafute huyo kaka anahusika nayo.Kuna kaka yangu yupo mbeya nitamwagiza angalau mawili,mazuri Sana nimechukua namba tayar
Nahisi OG imemaanisha original, lakini sijaelewa original uliyoisema wewe kwenye hizo nguo za karume umemaanisha nini au nini maana ya original?!Mchikichini ,pale karume... Bei rahisi saaaana na ni OG
.
Kuna mashati haya yanauzwa..Ni ya batiki mengine ya vitenge.
Unashonewa kulingana na size unayotaka na kitenge au batiki uliyoipendaView attachment 1178813View attachment 1178816
Mhusika namba Yake hiyo 0621592514
Amemaanisha Batiki na vitenge ni vitu genuine na sio vya kubumba!Nahisi OG imemaanisha original, lakini sijaelewa original uliyoisema wewe kwenye hizo nguo za karume umemaanisha nini au nini maana ya original?!
Kwamba nguo hizo pale Karume ni Original!Nahisi OG imemaanisha original, lakini sijaelewa original uliyoisema wewe kwenye hizo nguo za karume umemaanisha nini au nini maana ya original?!
Original maana yake nini?!Kwamba nguo hizo pale Karume ni Original!
Huyu anauzia wapi mkuu nimeyapenda sana staili yake.Kuna mashati haya yanauzwa..Ni ya batiki mengine ya vitenge.
Unashonewa kulingana na size unayotaka na kitenge au batiki uliyoipendaView attachment 1178813View attachment 1178816
Mhusika namba Yake hiyo 0621592514
Unaweza share contact zake tafadhali?!Mbeya.
Mikoani pia anatuma
Halisi au genuine!Original maana yake nini?!
Mbona nampigia anadengua! hataki tumuungishe? Simu inaita tu bila kupokelewa0621592514
Unakijuaje kisicho halisi su genuine?!Halisi au genuine!
Pengine yupo busy hajaionaMbona nampigia anadengua! hataki tumuungishe? Simu inaita tu bila kupokelewa
Nimeweka pale juu kwenye pichaUnaweza share contact zake tafadhali?!
Hamna shida ngoja nivute subraPengine yupo busy hajaiona
Kuwa na subra mkuu
Kama cha kubumba utashtukia,kinakuwa hakina uboraUnakijuaje kisicho halisi su genuine?!
Mashati ya vitenge Akishona kwa vipimo size ya mwili wake atapendeza sana
Sasa mkuu hiyo size utaijuaje kwa tulio mbali na ulipo!!Anapatikana mbeya
Yanaenda mwa order
Ukiweka order yako unashonewa kulingana na size