Yanayawakuta waarabu wa mashariki ya kati ni kutokana na haya

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
9,722
Reaction score
15,117
Al-Ma'idah (5:51).
Aya (tafsiri ya Kiswahili):

“Enyi mlioamini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa walinzi (au washirika wa karibu wa ulinzi); wao ni walinzi wao kwa wao. Na yeyote miongoni mwenu atakayewafanya kuwa walinzi wake basi huyo ni miongoni mwao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu madhalimu.”
— Qur'an 5:51

Maelezo mafupi ya wanazuoni

Wanazuoni wengi wa tafsiri wanasema kuwa:
Neno la Kiarabu “awliyā’” katika aya hii lina maana ya walinzi wa karibu sana, washirika wa kisiasa au ulinzi, si tu urafiki wa kawaida wao
 
Wayahudi na wakristo sio wakuwaamini hata kidogo...wana chuki na waislam...ona wanavyomchukia Samia kisa muislam
 
Wawape Wachina na Wahindi wawalinde.
Hao pia wako kwenye kundi la wanao amini miungu wengine kama wakristo bora hata mayahudi wanamini kuna Mungu mmoja tu kama vile Waislam tofouti yao ni Walilaniwa sa lazima wawe upande wawajinga.
 
Leta Aya au hadithi
 
Masheikh tafuteni ilm dunya zaidi.
Elimu ya dunia tumewachia nyie sisi elimu yetu ni ya kuomba twende peponi tu.

Mwenye elimu anapigika aisay hivi bado tu mnamini kuna taifa teule Paulo alikuwa chizi kweli mpaa wafuasi wake wamekuwa chizi na siagi
 
Back
Top Bottom