Wayahudi na wakristo sio wakuwaamini hata kidogo...wana chuki na waislam...ona wanavyomchukia Samia kisa muislamAl-Ma'idah (5:51).
Aya (tafsiri ya Kiswahili):
“Enyi mlioamini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa walinzi (au washirika wa karibu wa ulinzi); wao ni walinzi wao kwa wao. Na yeyote miongoni mwenu atakayewafanya kuwa walinzi wake basi huyo ni miongoni mwao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu madhalimu.”
— Qur'an 5:51
Maelezo mafupi ya wanazuoni
Wanazuoni wengi wa tafsiri wanasema kuwa:
Neno la Kiarabu “awliyā’” katika aya hii lina maana ya walinzi wa karibu sana, washirika wa kisiasa au ulinzi, si tu urafiki wa kawaida wao
Hao pia wako kwenye kundi la wanao amini miungu wengine kama wakristo bora hata mayahudi wanamini kuna Mungu mmoja tu kama vile Waislam tofouti yao ni Walilaniwa sa lazima wawe upande wawajinga.Wawape Wachina na Wahindi wawalinde.
Leta Aya au hadithiHao pia wako kwenye kundi la wanao amini miungu wengine kama wakristo bora hata mayahudi wanamini kuna Mungu mmoja tu kama vile Waislam tofouti yao ni Walilaniwa sa lazima wawe upande wawajinga.
Wewe nenda kawasaidie wamarekani wanapanga foleni sasa kununua petrol wananikumbusha enzi za Nyerere 😄Leta Aya au hadithi
Oya calm down man, you're not going heal that way. So, take a pill chill.Wayahudi na wakristo sio wakuwaamini hata kidogo...wana chuki na waislam...ona wanavyomchukia Samia kisa muislam
Masheikh tafuteni ilm dunya zaidi.Wewe nenda kawasaidie wamarekani wanapanga foleni sasa kununua petrol wananikumbusha enzi za Nyerere 😄
View: https://youtube.com/shorts/wlThGZAiqOs?si=bujeYRlm6a4xZMSg
Elimu ya dunia tumewachia nyie sisi elimu yetu ni ya kuomba twende peponi tu.Masheikh tafuteni ilm dunya zaidi.