Yanayo endelea CHADEMA ni matokeo ya kutodhibiti nidhamu ya wanachama wake

MTU MKUU

Senior Member
Joined
Feb 5, 2025
Posts
141
Reaction score
187
Niende Moja kwa Moja kwenye hoja. Ili uweze kujenga jamii ya Heshima na Nidhamu kwenye taasisi yeyote ni lazima kuwe na miiko ya taasisi.

Chama cha Demokrasia na Maendeleo chadema, kilifanya kazi kubwa ya kujijenga kisiasa kika sahau kujenga nidhamu kwa Wanachama wake.

Ndani ya chama kila mtu ni kambale.

Kila mtu Anaweza kutoa matamko bila kuzingatia Utaratibu wa chama.

Hapa ndipo chadema ilipotengeneza ugonjwa unaojitokeza sasa.

Wito wangu ni chama kuanza Upya na kujijenga katika nidhamu na kuheshimiana.

Sio mbaya kujifunza kwa chama cha Mapinduzi.

Wao wamewezaje kudhubiti nidhamu kwa Wanachama wake?

Nilazima chama kiwe kikubwa kuliko mtu. Na sio mtu kujiona yeye ni mkubwa kuliko taasisi.
 
Ccm kuna nidhamu? Kwako maana ya nishamu ni kuogopa kiongozi wako bila kuogopa mali zisizokuhusu? Yaani mwanachama anaopoga kumchallange kiongozi wake ila haogopi kuiba mali ya chama na mali ya umma.

Ccm ndiyo kilichotuletea watumishi wa umma kuwa wezi wa mali za umma bila uoga wakijificha chini ya nishamu ya kutowachallange viongozi waliopo ndani ya chama cha mapinduzi.
 
Niende Moja kwa Moja kwenye hoja. Ili uweze kujenga jamii ya Heshima na Nidhamu kwenye taasisi yeyote ni lazima kuwe na miiko ya taasisi.

Chama cha Demokrasia na Maendeleo chadema, kilifanya kazi kubwa ya kujijenga kisiasa kika sahau kujenga nidhamu kwa Wanachama wake.

Ndani ya chama kila mtu ni kambale.

Kila mtu Anaweza kutoa matamko bila kuzingatia Utaratibu wa chama.

Hapa ndipo chadema ilipotengeneza ugonjwa unaojitokeza sasa.

Wito wangu ni chama kuanza Upya na kujijenga katika nidhamu na kuheshimiana.

Sio mbaya kujifunza kwa chama cha Mapinduzi.

Wao wamewezaje kudhubiti nidhamu kwa Wanachama wake?

Nilazima chama kiwe kikubwa kuliko mtu. Na sio mtu kujiona yeye ni mkubwa kuliko taasisi.
CDM imeanza moja na NoReformsNoElection

wasio na nidhamu wote kwishney ..........................

wakiongozwa na Mrema ndo alikuwa JIKAMBALE anadhani bila yeye hakuna CDM
 
Niende Moja kwa Moja kwenye hoja. Ili uweze kujenga jamii ya Heshima na Nidhamu kwenye taasisi yeyote ni lazima kuwe na miiko ya taasisi.

Chama cha Demokrasia na Maendeleo chadema, kilifanya kazi kubwa ya kujijenga kisiasa kika sahau kujenga nidhamu kwa Wanachama wake.

Ndani ya chama kila mtu ni kambale.

Kila mtu Anaweza kutoa matamko bila kuzingatia Utaratibu wa chama.

Hapa ndipo chadema ilipotengeneza ugonjwa unaojitokeza sasa.

Wito wangu ni chama kuanza Upya na kujijenga katika nidhamu na kuheshimiana.

Sio mbaya kujifunza kwa chama cha Mapinduzi.

Wao wamewezaje kudhubiti nidhamu kwa Wanachama wake?

Nilazima chama kiwe kikubwa kuliko mtu. Na sio mtu kujiona yeye ni mkubwa kuliko taasisi.
CCM wametulia kwa vile kuna ulaji/mavyeo/kazi. subiri watoke madarakani
 
Niende Moja kwa Moja kwenye hoja. Ili uweze kujenga jamii ya Heshima na Nidhamu kwenye taasisi yeyote ni lazima kuwe na miiko ya taasisi.

Chama cha Demokrasia na Maendeleo chadema, kilifanya kazi kubwa ya kujijenga kisiasa kika sahau kujenga nidhamu kwa Wanachama wake.

Ndani ya chama kila mtu ni kambale.

Kila mtu Anaweza kutoa matamko bila kuzingatia Utaratibu wa chama.

Hapa ndipo chadema ilipotengeneza ugonjwa unaojitokeza sasa.

Wito wangu ni chama kuanza Upya na kujijenga katika nidhamu na kuheshimiana.

Sio mbaya kujifunza kwa chama cha Mapinduzi.

Wao wamewezaje kudhubiti nidhamu kwa Wanachama wake?

Nilazima chama kiwe kikubwa kuliko mtu. Na sio mtu kujiona yeye ni mkubwa kuliko taasisi.
Mwenyekiti Mstaafu aliushauri uongozi mpya,waponye majeraha yaliotokana na uchaguzi,wakampuuza.Sasa yatokanayo na kupuuza huko ni kama Kuna upupu ndani ya Chadema.Kila mtu anajikuna anavyojua yeye.Mwenye kutumia vijiti anajikuna,mwenye kutumia steel wire anajikuna.Mwenye kutumia ukuta au majibu anajikuna.Chadema imekuwa kama kisa maarufu Cha MNARA WA BABELI. Lugha gongana.
Asanteni kwa watakaonielewa.
 
Huyo mwenyekiti mstaafu ndiye kivuruge mwenyewe kwa msaada wa CCM na Dola.
 
Nidhamu ilikuwepo sana Chadema ila TL na Msingwa waliivuruga kwa Makusudi ili wamkomoe Mbowe,sasa hivi mbegu alizopanda zimeota kwa wingi,kila kona hakuna nidhamu,angalia hawa wafuasi wake hapa ni shida tupu
 
TL na kundi lake,wanaona wakifanya utomvu wa adabu kwao ni ibada,ila akifanya mwingine ni kosa
 
Niende Moja kwa Moja kwenye hoja. Ili uweze kujenga jamii ya Heshima na Nidhamu kwenye taasisi yeyote ni lazima kuwe na miiko ya taasisi.

Chama cha Demokrasia na Maendeleo chadema, kilifanya kazi kubwa ya kujijenga kisiasa kika sahau kujenga nidhamu kwa Wanachama wake.

Ndani ya chama kila mtu ni kambale.

Kila mtu Anaweza kutoa matamko bila kuzingatia Utaratibu wa chama.

Hapa ndipo chadema ilipotengeneza ugonjwa unaojitokeza sasa.

Wito wangu ni chama kuanza Upya na kujijenga katika nidhamu na kuheshimiana.

Sio mbaya kujifunza kwa chama cha Mapinduzi.

Wao wamewezaje kudhubiti nidhamu kwa Wanachama wake?

Nilazima chama kiwe kikubwa kuliko mtu. Na sio mtu kujiona yeye ni mkubwa kuliko taasisi.
Wana Ccm wenziyo sahizi wanaeleza wazi kuwa, kuvaa gwanda la kijani ama kujinasibu kukiunga mkono chama ni sawa na kutembea uchi hadharani kutokana na viongozi wa Ccm kufanya unyama wa kutisha wa kuteka raia wa upinzani na kuwaua!

Kama ni shabiki wa Ccm ungelijikalia zako kimya ukasubiri uoepo huu mbaya upite.

Ukitaka kuwashawishi watu wakuelewe anza kwanza kulaani mauaji na utekaji unaofanywa na Serikali yako ya Ccm.
 
Niende Moja kwa Moja kwenye hoja. Ili uweze kujenga jamii ya Heshima na Nidhamu kwenye taasisi yeyote ni lazima kuwe na miiko ya taasisi.

Chama cha Demokrasia na Maendeleo chadema, kilifanya kazi kubwa ya kujijenga kisiasa kika sahau kujenga nidhamu kwa Wanachama wake.

Ndani ya chama kila mtu ni kambale.

Kila mtu Anaweza kutoa matamko bila kuzingatia Utaratibu wa chama.

Hapa ndipo chadema ilipotengeneza ugonjwa unaojitokeza sasa.

Wito wangu ni chama kuanza Upya na kujijenga katika nidhamu na kuheshimiana.

Sio mbaya kujifunza kwa chama cha Mapinduzi.

Wao wamewezaje kudhubiti nidhamu kwa Wanachama wake?

Nilazima chama kiwe kikubwa kuliko mtu. Na sio mtu kujiona yeye ni mkubwa kuliko taasisi.
Nidhamu gani, kila uchaguzi watu wanakufa ww unataka wafe wangapi we mbwa??
 
Niende Moja kwa Moja kwenye hoja. Ili uweze kujenga jamii ya Heshima na Nidhamu kwenye taasisi yeyote ni lazima kuwe na miiko ya taasisi.

Chama cha Demokrasia na Maendeleo chadema, kilifanya kazi kubwa ya kujijenga kisiasa kika sahau kujenga nidhamu kwa Wanachama wake.

Ndani ya chama kila mtu ni kambale.

Kila mtu Anaweza kutoa matamko bila kuzingatia Utaratibu wa chama.

Hapa ndipo chadema ilipotengeneza ugonjwa unaojitokeza sasa.

Wito wangu ni chama kuanza Upya na kujijenga katika nidhamu na kuheshimiana.

Sio mbaya kujifunza kwa chama cha Mapinduzi.

Wao wamewezaje kudhubiti nidhamu kwa Wanachama wake?

Nilazima chama kiwe kikubwa kuliko mtu. Na sio mtu kujiona yeye ni mkubwa kuliko taasisi.
Siyo kama ccm wana nidhamu hapana ni uoga tu pale ila nidhamu hakuna watu wanaogopa dora sasa wewe lete kimbelembele wakuhangaishe wewe na ukoo wako
 
Huyo mwenyekiti mstaafu ndiye kivuruge mwenyewe kwa msaada wa CCM na Dola.
acha kutafuta excuses

mnashindwa jisimamia na kuendesha chama chenu na watu wenu mnamsingizia mtu aliestaafu?

hamuoni aibu?

kama mna ushahidi anawahujumu kwanini msimshughulikie?

yaani mnapoona chama chenu kinapata shida hua always mnatafuta wa kumsingizia

madaraka yote mnayo,kila kitu mnacho ila still mnaleta excuses

mnataka msimamiwe na nani kwenye ofisi zenu wenyewe?

yaani mlimshinda uchaguzi halafu sasa hivi mnamshindwa?

visingizio jazz band

acheni propaganda
 
Niende Moja kwa Moja kwenye hoja. Ili uweze kujenga jamii ya Heshima na Nidhamu kwenye taasisi yeyote ni lazima kuwe na miiko ya taasisi.

Chama cha Demokrasia na Maendeleo chadema, kilifanya kazi kubwa ya kujijenga kisiasa kika sahau kujenga nidhamu kwa Wanachama wake.

Ndani ya chama kila mtu ni kambale.

Kila mtu Anaweza kutoa matamko bila kuzingatia Utaratibu wa chama.

Hapa ndipo chadema ilipotengeneza ugonjwa unaojitokeza sasa.

Wito wangu ni chama kuanza Upya na kujijenga katika nidhamu na kuheshimiana.

Sio mbaya kujifunza kwa chama cha Mapinduzi.

Wao wamewezaje kudhubiti nidhamu kwa Wanachama wake?

Nilazima chama kiwe kikubwa kuliko mtu. Na sio mtu kujiona yeye ni mkubwa kuliko taasisi.
Kama unataka kujua viongozi hawana nidhamu kamuulize CAG
 
Back
Top Bottom