Kwani huwasikii hao vibaraka wake wanayosema kwenye press uchwara zao. Au wewe ndiye DJ mwenyewe?
mkuu huwezi zuia watu wazima kufikiri au kutenda watakacho
yaani mnataka Mbowe atoke kwenye ustaafu wake aanze kuzunguka kwa mtu mmoja mmoja kuwaelekeza cha kufanya kama watoto wadogo?
atakua amestaafu au mmemrudisha kwenye siasa?
yeye kashaondoka,kawaachia wanachama wote,wanaowapenda na wasiowapenda,ni kazi yenu kuhakikisha mnapata sapoti za wote sio kazi yake
ni maajabu nyie kushindwa kazi zenu za kuunganisha watu wenu mnataka tena kumtoa mtu retirement eti aje kuwasaidia kuendesha chama chenu tena?
your own failures are yours not others to blame
mpo kama watoto wadogo,kila kitu mpaka msimamiwe,mkishindwa mnaanza kulalamikia watu wasiokuwepo
lini mtakua wakubwa na kujisimamia wenyewe na kuendesha taasisi zenu kama watu wazima wenye kujisimamia?
mbowe ran Chadema since he was 24years old,na hakusumbua mtu amsaidie chochote
nyie still mpo kama mataahira,kila kitu mnalia lia msaada,inaonesha kabisa Zitto akikaza kidogo Chadema itakua kwenye wakati mgumu sana