Ccm kuna nidhamu? Kwako maana ya nishamu ni kuogopa kiongozi wako bila kuogopa mali zisizokuhusu? Yaani mwanachama anaopoga kumchallange kiongozi wake ila haogopi kuiba mali ya chama na mali ya umma.Niende Moja kwa Moja kwenye hoja. Ili uweze kujenga jamii ya Heshima na Nidhamu kwenye taasisi yeyote ni lazima kuwe na miiko ya taasisi.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo chadema, kilifanya kazi kubwa ya kujijenga kisiasa kika sahau kujenga nidhamu kwa Wanachama wake.
Ndani ya chama kila mtu ni kambale.
Kila mtu Anaweza kutoa matamko bila kuzingatia Utaratibu wa chama.
Hapa ndipo chadema ilipotengeneza ugonjwa unaojitokeza sasa.
Wito wangu ni chama kuanza Upya na kujijenga katika nidhamu na kuheshimiana.
Sio mbaya kujifunza kwa chama cha Mapinduzi.
Wao wamewezaje kudhubiti nidhamu kwa Wanachama wake?
Nilazima chama kiwe kikubwa kuliko mtu. Na sio mtu kujiona yeye ni mkubwa kuliko taasisi.
CDM imeanza moja na NoReformsNoElectionNiende Moja kwa Moja kwenye hoja. Ili uweze kujenga jamii ya Heshima na Nidhamu kwenye taasisi yeyote ni lazima kuwe na miiko ya taasisi.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo chadema, kilifanya kazi kubwa ya kujijenga kisiasa kika sahau kujenga nidhamu kwa Wanachama wake.
Ndani ya chama kila mtu ni kambale.
Kila mtu Anaweza kutoa matamko bila kuzingatia Utaratibu wa chama.
Hapa ndipo chadema ilipotengeneza ugonjwa unaojitokeza sasa.
Wito wangu ni chama kuanza Upya na kujijenga katika nidhamu na kuheshimiana.
Sio mbaya kujifunza kwa chama cha Mapinduzi.
Wao wamewezaje kudhubiti nidhamu kwa Wanachama wake?
Nilazima chama kiwe kikubwa kuliko mtu. Na sio mtu kujiona yeye ni mkubwa kuliko taasisi.
CCM wametulia kwa vile kuna ulaji/mavyeo/kazi. subiri watoke madarakaniNiende Moja kwa Moja kwenye hoja. Ili uweze kujenga jamii ya Heshima na Nidhamu kwenye taasisi yeyote ni lazima kuwe na miiko ya taasisi.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo chadema, kilifanya kazi kubwa ya kujijenga kisiasa kika sahau kujenga nidhamu kwa Wanachama wake.
Ndani ya chama kila mtu ni kambale.
Kila mtu Anaweza kutoa matamko bila kuzingatia Utaratibu wa chama.
Hapa ndipo chadema ilipotengeneza ugonjwa unaojitokeza sasa.
Wito wangu ni chama kuanza Upya na kujijenga katika nidhamu na kuheshimiana.
Sio mbaya kujifunza kwa chama cha Mapinduzi.
Wao wamewezaje kudhubiti nidhamu kwa Wanachama wake?
Nilazima chama kiwe kikubwa kuliko mtu. Na sio mtu kujiona yeye ni mkubwa kuliko taasisi.
Mwenyekiti Mstaafu aliushauri uongozi mpya,waponye majeraha yaliotokana na uchaguzi,wakampuuza.Sasa yatokanayo na kupuuza huko ni kama Kuna upupu ndani ya Chadema.Kila mtu anajikuna anavyojua yeye.Mwenye kutumia vijiti anajikuna,mwenye kutumia steel wire anajikuna.Mwenye kutumia ukuta au majibu anajikuna.Chadema imekuwa kama kisa maarufu Cha MNARA WA BABELI. Lugha gongana.Niende Moja kwa Moja kwenye hoja. Ili uweze kujenga jamii ya Heshima na Nidhamu kwenye taasisi yeyote ni lazima kuwe na miiko ya taasisi.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo chadema, kilifanya kazi kubwa ya kujijenga kisiasa kika sahau kujenga nidhamu kwa Wanachama wake.
Ndani ya chama kila mtu ni kambale.
Kila mtu Anaweza kutoa matamko bila kuzingatia Utaratibu wa chama.
Hapa ndipo chadema ilipotengeneza ugonjwa unaojitokeza sasa.
Wito wangu ni chama kuanza Upya na kujijenga katika nidhamu na kuheshimiana.
Sio mbaya kujifunza kwa chama cha Mapinduzi.
Wao wamewezaje kudhubiti nidhamu kwa Wanachama wake?
Nilazima chama kiwe kikubwa kuliko mtu. Na sio mtu kujiona yeye ni mkubwa kuliko taasisi.
Na pia nidhamu ya woga,mwenyeki ndiye CIC .CCM wametulia kwa vile kuna ulaji/mavyeo/kazi. subiri watoke madarakani
Huyo mwenyekiti mstaafu ndiye kivuruge mwenyewe kwa msaada wa CCM na Dola.Mwenyekiti Mstaafu aliushauri uongozi mpya,waponye majeraha yaliotokana na uchaguzi,wakampuuza.Sasa yatokanayo na kupuuza huko ni kama Kuna upupu ndani ya Chadema.Kila mtu anajikuna anavyojua yeye.Mwenye kutumia vijiti anajikuna,mwenye kutumia steel wire anajikuna.Mwenye kutumia ukuta au majibu anajikuna.Chadema imekuwa kama kisa maarufu Cha MNARA WA BABELI. Lugha gongana.
Asanteni kwa watakaonielewa.
Wana Ccm wenziyo sahizi wanaeleza wazi kuwa, kuvaa gwanda la kijani ama kujinasibu kukiunga mkono chama ni sawa na kutembea uchi hadharani kutokana na viongozi wa Ccm kufanya unyama wa kutisha wa kuteka raia wa upinzani na kuwaua!Niende Moja kwa Moja kwenye hoja. Ili uweze kujenga jamii ya Heshima na Nidhamu kwenye taasisi yeyote ni lazima kuwe na miiko ya taasisi.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo chadema, kilifanya kazi kubwa ya kujijenga kisiasa kika sahau kujenga nidhamu kwa Wanachama wake.
Ndani ya chama kila mtu ni kambale.
Kila mtu Anaweza kutoa matamko bila kuzingatia Utaratibu wa chama.
Hapa ndipo chadema ilipotengeneza ugonjwa unaojitokeza sasa.
Wito wangu ni chama kuanza Upya na kujijenga katika nidhamu na kuheshimiana.
Sio mbaya kujifunza kwa chama cha Mapinduzi.
Wao wamewezaje kudhubiti nidhamu kwa Wanachama wake?
Nilazima chama kiwe kikubwa kuliko mtu. Na sio mtu kujiona yeye ni mkubwa kuliko taasisi.
Nidhamu gani, kila uchaguzi watu wanakufa ww unataka wafe wangapi we mbwa??Niende Moja kwa Moja kwenye hoja. Ili uweze kujenga jamii ya Heshima na Nidhamu kwenye taasisi yeyote ni lazima kuwe na miiko ya taasisi.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo chadema, kilifanya kazi kubwa ya kujijenga kisiasa kika sahau kujenga nidhamu kwa Wanachama wake.
Ndani ya chama kila mtu ni kambale.
Kila mtu Anaweza kutoa matamko bila kuzingatia Utaratibu wa chama.
Hapa ndipo chadema ilipotengeneza ugonjwa unaojitokeza sasa.
Wito wangu ni chama kuanza Upya na kujijenga katika nidhamu na kuheshimiana.
Sio mbaya kujifunza kwa chama cha Mapinduzi.
Wao wamewezaje kudhubiti nidhamu kwa Wanachama wake?
Nilazima chama kiwe kikubwa kuliko mtu. Na sio mtu kujiona yeye ni mkubwa kuliko taasisi.
Siyo kama ccm wana nidhamu hapana ni uoga tu pale ila nidhamu hakuna watu wanaogopa dora sasa wewe lete kimbelembele wakuhangaishe wewe na ukoo wakoNiende Moja kwa Moja kwenye hoja. Ili uweze kujenga jamii ya Heshima na Nidhamu kwenye taasisi yeyote ni lazima kuwe na miiko ya taasisi.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo chadema, kilifanya kazi kubwa ya kujijenga kisiasa kika sahau kujenga nidhamu kwa Wanachama wake.
Ndani ya chama kila mtu ni kambale.
Kila mtu Anaweza kutoa matamko bila kuzingatia Utaratibu wa chama.
Hapa ndipo chadema ilipotengeneza ugonjwa unaojitokeza sasa.
Wito wangu ni chama kuanza Upya na kujijenga katika nidhamu na kuheshimiana.
Sio mbaya kujifunza kwa chama cha Mapinduzi.
Wao wamewezaje kudhubiti nidhamu kwa Wanachama wake?
Nilazima chama kiwe kikubwa kuliko mtu. Na sio mtu kujiona yeye ni mkubwa kuliko taasisi.
acha kutafuta excusesHuyo mwenyekiti mstaafu ndiye kivuruge mwenyewe kwa msaada wa CCM na Dola.
Kama unataka kujua viongozi hawana nidhamu kamuulize CAGNiende Moja kwa Moja kwenye hoja. Ili uweze kujenga jamii ya Heshima na Nidhamu kwenye taasisi yeyote ni lazima kuwe na miiko ya taasisi.