Ya fomu moja huyaongelei jinga weweWatanzania waliwahi kuhojiwa rasmi juu ya mfumo wa vyama vingi au kimoja.
Majibu yao yalikuwa wazi na ya moja kwa moja kwamba wangependa kubaki na mfumo wa chama kimoja.
Mwalimu Nyerere aliona ni vyema kukataa maoni hayo kutokana na mashinikizo ya mabepari.
Lakini uhalisia wa mambo unaendelea kujidhihirisha kwamba Mfumo wa chama kimoja ndio mfumo waliouamini ili kuondokana na vibaraka.
CCM iliyo bora inao uwezo wa kusimamia Taifa na kulipeleka mbele.
Mimi ningeisifu kama wewe endapo ingepitisha katiba mpya tena ile ya warioba,kinyume na hapo ni kutusingizia watanzania kwamba tumeamua kuwa na chama kimoja.CCM iliyo bora inao uwezo wa kusimamia Taifa na kulipeleka mbele.
Katiba mpya sio takwa la wananchi bali ni wapiga kelele ambao sasa wanaumbukaMimi ningeisifu kama wewe endapo ingepitisha katiba mpya tena ile ya warioba,kinyume na hapo ni kutusingizia watanzania kwamba tumeamua kuwa na chama kimoja.
Mkuu chukua maua yako πππMimi ningeisifu kama wewe endapo ingepitisha katiba mpya tena ile ya warioba,kinyume na hapo ni kutusingizia watanzania kwamba tumeamua kuwa na chama kimoja.