Yanayoendelea CHADEMA yanadhihirisha kwa nini wananchi walichagua kubaki na chama kimoja

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
36,197
Reaction score
29,717
Watanzania waliwahi kuhojiwa rasmi juu ya mfumo wa vyama vingi au kimoja.

Majibu yao yalikuwa wazi na ya moja kwa moja kwamba wangependa kubaki na mfumo wa chama kimoja.

Mwalimu Nyerere aliona ni vyema kukataa maoni hayo kutokana na mashinikizo ya mabepari.

Lakini uhalisia wa mambo unaendelea kujidhihirisha kwamba Mfumo wa chama kimoja ndio mfumo waliouamini ili kuondokana na vibaraka.

CCM iliyo bora inao uwezo wa kusimamia Taifa na kulipeleka mbele.
 
Ya fomu moja huyaongelei jinga wewe
 
Uchaguzi huu wa kusimamiwa na ma DAS na mapoliccm ndio useme watu wanaichagua CCM?
 
Mimi ningeisifu kama wewe endapo ingepitisha katiba mpya tena ile ya warioba,kinyume na hapo ni kutusingizia watanzania kwamba tumeamua kuwa na chama kimoja.
Katiba mpya sio takwa la wananchi bali ni wapiga kelele ambao sasa wanaumbuka
 
Mimi ningeisifu kama wewe endapo ingepitisha katiba mpya tena ile ya warioba,kinyume na hapo ni kutusingizia watanzania kwamba tumeamua kuwa na chama kimoja.
Mkuu chukua maua yako 💐💐💐
 
Back
Top Bottom