Simiyu Yetu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 18,949
- 4,639
Ni siku ya jumatatu siku ambayo tulitarajia kuanza rasmi kujadili kanuni za bunge maalumu lakini zoezi hilo halitafanyika badala yake tunaendelea kujisomea kanuni kwa siku ya leo hata kesho.
yawezekana kuanzia jumatano ndiyo siku ambayo tunaweza kuanza kujadili kanuni husika ili kuweza kuzipitisha tayari kwa kuanza kutuongoza kwenye hili bunge maalumu la kuandaa katiba ya watanzania.
wewe ulitarajia Kama nani? Kama -------- na Mjinga Kama wewe upo kwenye bunge la katiba basi hapo hamna bungeNi siku ya jumatatu siku ambayo tulitarajia kuanza rasmi kujadili kanuni za bunge maalumu lakini zoezi hilo halitafanyika badala yake tunaendelea kujisomea kanuni kwa siku ya leo hata kesho.
yawezekana kuanzia jumatano ndiyo siku ambayo tunaweza kuanza kujadili kanuni husika ili kuweza kuzipitisha tayari kwa kuanza kutuongoza kwenye hili bunge maalumu la kuandaa katiba ya watanzania.
Huu ujinga wako kwa nini usiende kuengea kwenu kuliko kutuletea humu.wewe ulitarajia Kama nani? Kama -------- na Mjinga Kama wewe upo kwenye bunge la katiba basi hapo hamna bunge
Mkuu mambo mengine magumu kweli hasa suala linapokuwa la wengi lakini imani yetu ni kwamba tutapata katiba yetu.Ina maana hizo kanuni za bunge maalumu ni nyingi kiasi gani mpaka zichukue muda mrefu kiasi hicho?
kusoma tu kanuni wiki moja kutunga nyingine itakuwa mwezi mzima hapa lengo ni kuongeza zile siku 20 walizo ambiwa wanaweza kuziongeza ,bora wasingeambiwa kuwa wanaweza kuongeza siku.
Mkuu mambo mengine magumu kweli hasa suala linapokuwa la wengi lakini imani yetu ni kwamba tutapata katiba yetu.
Hizi ndio akili za bavicha mkuu, wasikuumize kichwaHuu ujinga wako kwa nini usiende kuengea kwenu kuliko kutuletea humu.
UMetoroka tena mirembe?wewe ulitarajia Kama nani? Kama -------- na Mjinga Kama wewe upo kwenye bunge la katiba basi hapo hamna bunge
Huu ujinga wako kwa nini usiende kuengea kwenu kuliko kutuletea humu.
UMetoroka tena mirembe?
Amani kwako mkuu pamoja sana.Kila lakheri mkuu. Endelea kutujuza yatakayojiri huko.
Siyo viberiti vyote huwaka viberiti kama wewe ni hasara tu.Na mafyatu kama ww wametinga bunge la katiba? tutegemee machafuko huko tuendako.