Kwanini Polisi wanakubali kujiingiza kwenye siasa?
Waliahidiwa pesa na Samia juzi kati kwenye Ile hafla yaoHao wako kwenye kutumwa zaidi. Tatizo kuu anaye watuma. Serikali ...
Haipaswi kuwa hivi katika nchi nzuri kama Tanganyika.Ngorongoro si gereza.
Kamata kamata inayoendelea huko haina tija kwa Taifa hili:
View attachment 2745109
Zaidi sana inaiweka serikali hii matatani.
View attachment 2745111
"Haya ni ya kukemea bila kujali itikadi."
Haki za kila mtu kikatiba ziheshimiwe.
View attachment 2745117
Serikali ina nini cha kuficha Ngorongoro?
Polisi Tanzania baada ya kuahidiwa "rushwa" ya billions of money wameanza KAZI ya kuharibu amani Ili kumlinda Mwenyekiti wa CCM
100%Kurudisha KADI za CCM sio dhambi, why Polisi mnataka kuleta taharuki isiyo ya lazima?
Haipaswi kuwa hivi katika nchi nzuri kama Tanganyika.
Nimesikitika sana
Haya mambo huanza hivi badaye majuto kuwa viongozi
Inasikitisha kwa kweli.
Kenya walikuwa na matatizo kama haya na walipata solution.Hayapo maneno ya kuuelezea unyama huu