Ingawa hatupewi taarifa za kueleweka lakini yanayoendelea Mtwara kwa uchache yanafahamika. Kuna uwezekano mkubwa kabisa Tayari kile kikundi cha ugaidi kilichokuwa kinasumbua kule Msumbiji Ni rasmi Kiko Tanzania.
Watu wa Mtwara wanaweza kuthibitisha hili. Miezi kadhaa iliyopita Serikali ya Marekani ilitahadharisha kikundi cha ugaidi kilichoko Msumbiji Kama kisipodhibitiwa, uasi unaweza kuhamia Tanzania pia.
Je, Serikali ilifanyia kazi ushauri huo ili kuweka maandalizi ya kukabiliana na aina yoyote ya ugaidi ambao ungetokana na kikundi hiki?