Prince Moola
Member
- Aug 21, 2013
- 87
- 98
Bora waje tu tutawapa msaada wa hali na mali, majeshi yetu kaziyao kuonea raia tu lakini kwenye vita wanakimbia .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, Paschal Mayalla,PSecurity alert kwa Serikali yetu: Tuwe makini sana na Marekani, kuna kitu kinapangwa halafu wajifanye walionya kabla. Je, wanapanga kutu-Libya?
Wanabodi, Hili ni bandiko la security alert lenye hoja 44 kati ya hoja hizo, hoja 33 ni maswali ya kiusalama kuhusu taifa letu Tanzania. Angalizo Kuhusu Security Conscious Ulinzi wa taifa sio jukumu la vyombo vya ulinzi na usalama pekee bali ni jukumu la kila Mtanzania Mzalendo wa taifa lake...www.jamiiforums.com
Ushauri wako nini katika hili ?Hao wamarekani ndiyo suspects namba 1, Kwa nini vikundi vya ugaidi viibuke sehemu zenye rasilimali gesi, mafuta?.
Ule ukanda wa kusini, wa Tanzania na Msumbiji kuna gesi kwanini hicho kikundi kiibukie huko?
Hapo Mmarekani anaimezea mate gesi yetu, anataka kutuchosha na mapambano kisha atushauri tukubali alete vikosi vyake huko au aweke military base, au tuyauzie makampuni yake rights za uchimbaji huko ndo aviondoe vikundi hivyo vya kigaidi ambavyo kimsingi ni vyake kwa mlango wa nyuma!
Tatizo la lumumba fc, huwa mnakurupuka tu, kama mtu anayejisaidia kichakani, pale asikiapo, sauti ya kitu!! Kwani kule mtwara kwenye gesi bado Tz, ina chake? Fuatilia kauli ya meko, kwanini aliakimbilia huko rufiji kwenye maporomoko ya maji!! Rasilimali muziuze kwa bei ya kutupa mje mtafute sababu, eti USA, anazitaka?!!! Yule akihitaji chochote kile hapa TZ, hana haja ya kuzunguzuka sana, utatoa mwenyewe tu. Kama hujui chanzo cha mgogoro huo wa Mozambique kaa kimya tu, hayo ni matokeo ya siasa mbovu za afrika, eg, Niger delta,Hao wamarekani ndiyo suspects namba 1, Kwa nini vikundi vya ugaidi viibuke sehemu zenye rasilimali gesi, mafuta?.
Ule ukanda wa kusini, wa Tanzania na Msumbiji kuna gesi kwanini hicho kikundi kiibukie huko?
Hapo Mmarekani anaimezea mate gesi yetu, anataka kutuchosha na mapambano kisha atushauri tukubali alete vikosi vyake huko au aweke military base, au tuyauzie makampuni yake rights za uchimbaji huko ndo aviondoe vikundi hivyo vya kigaidi ambavyo kimsingi ni vyake kwa mlango wa nyuma!
We jamaa cku izi nakudharau kinyama yan umepoteza mvuto wa kujenga hoja baada tu ya kuhamia ccmPSecurity alert kwa Serikali yetu: Tuwe makini sana na Marekani, kuna kitu kinapangwa halafu wajifanye walionya kabla. Je, wanapanga kutu-Libya?
Wanabodi, Hili ni bandiko la security alert lenye hoja 44 kati ya hoja hizo, hoja 33 ni maswali ya kiusalama kuhusu taifa letu Tanzania. Angalizo Kuhusu Security Conscious Ulinzi wa taifa sio jukumu la vyombo vya ulinzi na usalama pekee bali ni jukumu la kila Mtanzania Mzalendo wa taifa lake...www.jamiiforums.com
Utaona itakuw kaini kuliko awamu iliyopita HAKUNA CHA UGAIDI LABDA WEWE UWE WA KWANZA na utashughulikiwa kama gaidi.Ukweli mchungu, awamu hii Jiwe atatawala kwa shida sana.
Ataandamwa na ugaidi na vikwazo kibao.
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Kumbe Hali Ni mbaya kuliko tujuavyoJamaa yangu wazee wake wamekua homeless mapimbi yamechoma nyumba yao na kijiji kizima bahat nzuri bimkubwa hakuwepo ndani madogo walichimba
Ni mbaya sana mkuu ila naamin jwtz hawafanyagi press conference za kaz zao naamin wako mzigoni tuendelee kumuomba Mungu tuKumbe Hali Ni mbaya kuliko tujuavyo
Wewe ni kiazi, unadhani hao magaidi wanajali cha huyu ni raia na huyu sio waulize watu wa Mtwara watakwambia.
Wale watu wanaua hawajali cha huyu ni kiongozi, mpinzani au sio mpinzani. Kwa hiyo kaa kwa kutulia.