PSecurity alert kwa Serikali yetu: Tuwe makini sana na Marekani, kuna kitu kinapangwa halafu wajifanye walionya kabla. Je, wanapanga kutu-Libya?
Wanabodi, Hili ni bandiko la security alert lenye hoja 44 kati ya hoja hizo, hoja 33 ni maswali ya kiusalama kuhusu taifa letu Tanzania. Angalizo Kuhusu Security Conscious Ulinzi wa taifa sio jukumu la vyombo vya ulinzi na usalama pekee bali ni jukumu la kila Mtanzania Mzalendo wa taifa lake...www.jamiiforums.com
Well said mkuuhawa magaidi kwa uchaguzi huu ulivyovurugwa wanakaribishwa na wakipiga hodi wataambiwa karibuni.
Wananchi walivyoteswa kuuliwa kupigwa mabomu na mazila kibao,unafikir akipiga hodi gaidi watamfukuza ? Hivi magaidi waende pemba waingie Unguja na kupiga hodi huko unafikiri wananchi watawafukuza ? Serikali iliyoyafanya katika uchaguzi huu imewafagilia njia magaidi .
Ukweli mchungu, awamu hii Jiwe atatawala kwa shida sana.Hao wamarekani ndiyo suspects namba 1, Kwa nini vikundi vya ugaidi viibuke sehemu zenye rasilimali gesi, mafuta?.
Ule ukanda wa kusini, wa Tanzania na Msumbiji kuna gesi kwanini hicho kikundi kiibukie huko?
Hapo Mmarekani anaimezea mate gesi yetu, anataka kutuchosha na mapambano kisha atushauri tukubali alete vikosi vyake huko au aweke military base, au tuyauzie makampuni yake rights za uchimbaji huko ndo aviondoe vikundi hivyo vya kigaidi ambavyo kimsingi ni vyake kwa mlango wa nyuma!
Wewe ni kiazi, unadhani hao magaidi wanajali cha huyu ni raia na huyu sio waulize watu wa Mtwara watakwambia.hawa magaidi kwa uchaguzi huu ulivyovurugwa wanakaribishwa na wakipiga hodi wataambiwa karibuni.
Wananchi walivyoteswa kuuliwa kupigwa mabomu na mazila kibao,unafikir akipiga hodi gaidi watamfukuza? Hivi magaidi waende Pemba waingie Unguja na kupiga hodi huko unafikiri wananchi watawafukuza ? Serikali iliyoyafanya katika uchaguzi huu imewafagilia njia magaidi.