Yanayoendelea kwa sasa kwenye Rasilimali za nchi, watanzania wangefumbua macho kidogo huyu Rais alitakiwa aachie madaraka, kupisha wanaoweza kuzilinda

mockers

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2013
Posts
12,843
Reaction score
35,442
Hayo ni maoni ya jaji mstaafu.

Jaji anasema kwenye uwekezaji kuna mambo ya ajabu yanaendelea na watu wenye akili wameamua kukaa kimya tu.

Jaji anasema rasilimali sasa zinagawiwa kwa mikataba ambayo kisheria haina balance na anasema kuwa watanzania wangekuwa wanajua yanayofanywa na serikali hii kamwe Rais na watu wake hawakutakiwa kuwepo ofisini, walitakiwa warudi makwao wakakae huko.

Ngorongoro, Loliondo, KIA, Bandari, helium ya dodoma, madini ya kimkakati pale songwe, alitaja Kwa kifupi sana hayo.

Hapo nimemnukuu mwanasheria nguli.
 
Jaji anasema rasilimali sasa zinagawiwa Kwa mikataba ambayo kisheria haina balance na anasema kua watanzania wangekua wanajua yanayofanywa na serikali hii kamwe Rais na watu wake hawakutakiwa kuwepo ofisini walitakiwa warudi makwao wakakae huko.

Huo ndio ukweli mchungu sana Ndugu yangu, inatisha mnoooo. Huwa najiuliza Yaani CCM nzima hakuna MTU mwenye uchungu hata kidogo??
 
Acha mama atupambanie ,kiufupi wewe hujui chochote,unapomwona rais anafanya jambo jua taasisi ya urais imelifanyia tathimini na kulibariki, acha kuumiza kichwa ,hakika mama anaupiga mwingi,tumuunge mkono,hata kama humkubali naamini wewe ni miongoni mwa wale asilimia 0.1 out of 99.9 tunaomtakia heli mama.

Sio tu nasema mitano tena bali mikumi kwa mama😍😍😍
 
Hayo ni maoni ya jaji mstaafu.
Jaji anasema kwenye uwekezaji kuna mambo ya ajabu yanaendelea na watu wenye akili wameamua kukaa kimya tu.
Jaji anasema rasilimali sasa zinagawiwa Kwa mikataba ambayo kisheria haina balance na anasema kua watanzania wangekua wanajua yanayofanywa na serikali hii kamwe Rais na watu wake hawakutakiwa kuwepo ofisini walitakiwa warudi makwao wakakae huko.
Ngorongoro, Loliondo, KIA, Bandari, helium ya dodoma, madini ya kimkakati pale songwe, alitaja Kwa kifupi sana hayo.
Hapo nimemnukuu mwanasheria nguli.
Too bad unaongea na kizazi ambacho hakitaki kufungua macho, wako busy na simba na yanga, bongo fleva na mambo ya kimbea
 
Acha mama atupambanie ,kiufupi wewe hujui chochote,unapomwona rais anafanya jambo jua taasisi ya urais imelifanyia tathimini na kulibariki, acha kuumiza kichwa ,hakika mama anaupiga mwingi,tumuunge mkono,hata kama humkubali naamini wewe ni miongoni mwa wale asilimia 0.1 out of 99.9 tunaomtakia heli mama.

Sio tu nasema mitano tena bali mikumi kwa mama😍😍😍
Faki you
 
Hayo ni maoni ya jaji mstaafu.

Jaji anasema kwenye uwekezaji kuna mambo ya ajabu yanaendelea na watu wenye akili wameamua kukaa kimya tu.

Jaji anasema rasilimali sasa zinagawiwa kwa mikataba ambayo kisheria haina balance na anasema kuwa watanzania wangekuwa wanajua yanayofanywa na serikali hii kamwe Rais na watu wake hawakutakiwa kuwepo ofisini, walitakiwa warudi makwao wakakae huko.

Ngorongoro, Loliondo, KIA, Bandari, helium ya dodoma, madini ya kimkakati pale songwe, alitaja Kwa kifupi sana hayo.

Hapo nimemnukuu mwanasheria nguli.
Ongeza na Misitu huko TFS....
 
Kuna faida gani kwa familia kuwa na heka kumi za mashamba ilikhali kila mwaka mnalia njaa,huku watu wenye uwezo wakiomba wayaendeleze hayo mashamba ili nawewe upate kujikwamua kiuchumi? Je ni vibaya kuwapa wawekezaji ili tu mali hizo zibaki mikononi mwetu kama sifa?

Loliondo imekuwepo kwa miaka sasa,je uwepo wake umeleta tija kwa watanzania,? Na kama mimi sioni tija,kuna ubaya gani kumpa mwekezaji ili aendekeze huku tukipata gawio letu na watu kupata ajira?

Ok bandari,bandari imekuwepo miaka na miaka,je imeleta tija kama ambavyo taasisi ya urais na rais inataka,kama hakuna tija ,je nidhambi tukiibinafsisha ili kuongeza ufanisi na mapato kwa nchi yetu?

Watanzania hawana jema,ni watu walalamishi,hivyo rais aliyepo anapambana sana ili kuboresha maisha ya kila mtanzania.

Go go go go mama
 
Hayo ni maoni ya jaji mstaafu.

Jaji anasema kwenye uwekezaji kuna mambo ya ajabu yanaendelea na watu wenye akili wameamua kukaa kimya tu.

Jaji anasema rasilimali sasa zinagawiwa kwa mikataba ambayo kisheria haina balance na anasema kuwa watanzania wangekuwa wanajua yanayofanywa na serikali hii kamwe Rais na watu wake hawakutakiwa kuwepo ofisini, walitakiwa warudi makwao wakakae huko.

Ngorongoro, Loliondo, KIA, Bandari, helium ya dodoma, madini ya kimkakati pale songwe, alitaja Kwa kifupi sana hayo.

Hapo nimemnukuu mwanasheria nguli.
Mama kagawa bandari kwa waarabu wenzake magaidi wapandisha majini ameona haitoshi anaendaa Korea kuwaita macho ya paka waje kuchukua rasilimali zilizobaki. Nchi ya kiqumer sana hii.
 
Back
Top Bottom